Kwa huu utitiri wa matangazo ya kazi ya kuhamia (Transfer vacancy) ndipo tunaamini mfumo wa ESS haufanyi kazi kabisa

Kwa huu utitiri wa matangazo ya kazi ya kuhamia (Transfer vacancy) ndipo tunaamini mfumo wa ESS haufanyi kazi kabisa

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Sasa hivi kumekuwa na matangazo mengi kwa taasisi tofautitofauti kutangaza nafasi za kuhamia (Transfer vacancy) ambapo taasisi zinawataka watumishi wa umma wenye kupenda kufanya kazi hizo kutuma maombi ya kuhamia.

Hapa inaonesha dhahiri kuwa mfumo wa kiutumishi uliowekwa(ESS) haufanyi lolote.

Nimeona matangazo kutoka taasisi mbalimbali, miongoni mwa hizo ni:

1. TOSCI
2. BOT
 
Attachments

Sasa hivi kumekuwa na matangazo mengi kwa taasisi tofautitofauti kutangaza nafasi za kuhamia(Transfer vacancy) ambapo taasisi zinawataka watumishi wa umma wenye kupenda kufanya kazi hizo kutuma maombi ya kuhamia.

Hapa inaonesha dhahiri kuwa mfumo wa kiutumishi uliowekwa(ESS) haufanyi lolote.

Nimeona matangazo kutoka taasisi mbalimbali, miongoni mwa hizo ni
1. TOSCI
2. BOT
Ndugu hizo nafasi lazima zitangazwe ili watu wazione. Kisha tisa kumi mfumo ndo utahusika dk za mwisho rafiki
 
Back
Top Bottom