Kwa ile michango ya CCM jana, Nimegundua inawezekana kuwa na Harambee CCM kulipa deni la Taifa (Deni la Taifa Gala Dinner)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu wa JF,

Hawa ndugu zake Lucas Mwashambwa walipe tu deni la Taifa wenyewe
Kwa namna ambavyo jana mawaziri, wafanyabishara na makundi mbalimbali ya CCM walivyokua wanataja kiasi cha fedha kwa ajili ya Michango ya kampeni za uchaguzi, nimewaza kuhusu Uongozi wa CCM ulivyochangia kuongezeka kwa deni la Taifa ambalo pia wanaweza kuitisha deni la taifa gala dinner tena ukumbi ukawa pale Mlimani city wakachangia

Wasituchoshe watanzania kutubambikizia madeni waliyokopa wenyewe, maana kama ni miradi ya maendeleo ya Taifa Watanzania tunalipa kodi




​
 
Wote waliochanga hawatalipa kodi kwa miaka yote ya mitano ijayo na biashara za magendo ni halali kwao, shauri yako

Halafu pesa zote zile zinaenda kuinufaisha ccm tu huku nchi yako ikiangukia pua
 
Kwahiyo unaamini hizo billion 86 kweli zimetoka kwa hao waliotoa hizo ahadi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…