Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Kiukweli Askari wetu wa barabarani wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana. Jua wao Mvua wao.
Leo nliamua nitoke kidogo niangalie hali ya Ugonjwa wa Corona Dsm. Kampuni yetu imenzisha program ya kufanya kazi ukiwa home.na ukichukulia sisi wengine ni watu wa kuchezea sana laptop kwa kazi zetu basi hapaharibiki neno.
Tunafanya Video Conference ikibidi n.k. mimi pale home 24/7 nipo hewani kupitia CCTV wazee na ndugu zangu wananiangalia.hawana amani kabisa..wanadhani anytime naweza danja kwa corona...kumbe huku kwetu siyo issue kuubwa kihivyo.
Basi nikawa nimewasha gari yangu nikaipulizia sanitizer gari nzima nje na ndani.mi mwenyewe nikapulizia then nikavaa mask ambayo nlinunua Canada Usd 770. Ipo fresh unaweza dhani ni heroes mmojawapo wa Marvel.
Sasa mimi nmejisahau nimekanyaga mafuta toka oysterbay naenda kile ki min supermarket cha pale airport entrance kwenye ile filling station.kuna kitu flani nlinunua last time nmetoka sweden.sijaona kwenye supermarket hizi nyingine.
Basi nmesahau kumbe nimekanyaga mafuta mpaka mshale unasoma 150. Mimi hata sijui.unajua hizi gari za ulaya huwezi ona the difference.wewe ukiwa ndani unaona normal tu.kumbe nje wanashangaa kuwa leo ndege inapita barabarani....
Mi nikitizama nje naona watu wameshika vichwa na kuachama midomo.nikasema hapa inawezekana corona imeathiri sana watu.so njiani huko wanadondoka tu kma wana mdondo.ndo maana wenzao wanashika vichwa na kuacha midomo wazi.
Nmefika mitaa ya mbele baada ya kuvuka mfugale traffic wakanipiga mkono....nikasimama bila shida...hata tairi hazikukwaruza.yule traffic alishtuka alitegemea kwa ule mwendo break aither tairi zingekwaruza sana chini au ngeenda simamia kule mbele sana.wala haikuwa shida.hizi gari bwana unapokanyaga mafuta unaweza sema hazigusi chini.ila unaposimama utashangaa zinaikumbatia ardhi kwa mahaba na bila kuichubua zinasimama.
Nikasubiri akaja traffic akanisalimia....nlipofungua kioo alitabasam uso wake ukalainika na kupata nuru ghafla.akaniuliza "mzee unakiyoyozi kinaweza poza dsm nzima"
Ule upepo wa AC ulimfikia nje.kunicheck nimevaa simple tu.tukaongea mambo kadhaa akanambia wamepigiwa simu kuwa kuna gari imepita inakimbia mpaka inakaribia kupaa.nilishangaa sana. Speed ya km 150/hour wanaona hivyo ni speed kubwa.....?
Basi nikamwambia asijali nilijisahau tu.akanambia aniandikie kosa kwa kweli sikutaka hata mbishia.amekaa sana juani maskini.basi nikampa driving licence yangu.nlisahau nikampa ile international akashtuka nikabadilisha nikampa hzi za kiswahili.akaandika namba na kunambia ananipiga fine.nikamwambia haina shida.nikatoa 100,000 ya fine.hata sikutaka ahangaike kutoa receipt maana nlikuwa namwonea huruma.
Nikamwambia anitunzie receipt yangu wakati narudi ntaipitia.akanitizama tena akashangaa nlivyo mstaarabu.pembeni kuna jamaa anabembeleza eti kulipa tu faini kosa dogo anataka apunguziwe.nlishangaa. Fine tsh 100,000 kwa kosa.unataka upunguziwe? Sasa unataka ulipe nini?korodani zako?huo ni ujinga.watu walipe fine.
Basi nmeenda zangu wakati narudi nikapark gari nikavuka upande wa kwake nikaulizia jina kwa wenzie wakasema alitoka kidgo nikawaambia wamtunzie mzigo wake. Na wao nikawapa pole kwa kazi ngumu.
Kiuhalisia Traffic tuishi nao kwa upendo sana.wanafanya kazi ngumu na unaweza kuta kamshahara anapokea milion 2 au 3 na huku anashinda juani na mvuani.
Tuonesheni uzalendo.kwanzia leo ukipita sehemu ukamwona traffic mwachie hata 20,000 ya kunywea maji...huu ndo uzalendo. Nmerudi home muda huu nipo bored li TV likuwa inch 72 member mmoja wa JF alipoona akauliza. 'mbona hapo hujaweka ukuta umeweka likioo likubwa?" Nikamwambia hapana hiyo ni TV hapo tulikuwa room ambayo ni ya entertainment. Home Theater.
Basi ndo nipo hapa room...nmechill tu sometime nami nawacheck ndugu zangu kupitia screen ambayo nmeiweka room nayoiita news room.huko mambo yoote ya dunia inaendaje ndo nafuatilia huko.na kuwaangalia ndugu zangu maana tupo connected kwenye mtandao tunaonana.
Siku moja yule mdogo wangu mtundu alijisahau akawa amemkamatia mkewe sebuleni anamla...nikapiga simu haraka kuwa namwona huku...alipokea akanifokea sana kuwa niache ujinga namkatisha zoezi kwa tahadhali ya kijinga...kama vipi niache mimi kuangalia yeye anamgegeda mkewe anywhere anytime...basi nikamwambia yasiwe makubwa naondoka mimi....akamwomba mkewe samahani kumkatisha zoezi...akaendelea kupump.