Acha niorodheshe baadhi ya maovu yaliowahi kufanyika ama yanayofanyika hapa Tanzania na kushangiliwa au kunyamaziwa na jamii.
1. JPM alivunja katiba hadharani ktk Mambo mengi sana , watanzania kimyaaa!!! Sri Lanka na Sudan wameweza
2. Mwgulu amewahi kutoa kejeli kwa watanzania kuwa asiyetaka tozo aende Burundi. Nchi za watu pangechimbika.
3. Covid-19 wapo bungeni kinyume kabisa na matakwa ya katiba. Tunakenua tu tukidhani tunawakomoa chadema.
4. Wasanii wanaimba mitusi hadharani, matangazo ya biashara yanabeba maudhui ya mitusi,, n.k tupo tu tunawashabikia.
5. Aliibuka jamaa mmoja (alijiita Liquid) akawa ana-promote ulevu na kufanya vituko vya kilevi akapewa mpk bendera ya taifa eti akawa kwenye kamati ya ushindi wa Taifa Stars kuelekea AFCON. Vitu vya hatari sana hivi.
Baadhi ya mema yaliyowahi kupingwa hadharani na watu wa Kuzimu (watanzania)
1. Ndugai alionya juu ya tabia ya kuendelea kukopa mikopo toka nje kiholela. Akakoromewa kama vile kafanya uhaini. Hadi sasa awamu ya 6 imekopa karibia trilion 8.
2. Babu Tale alllalamika bungeni kuwa wimbo kama "Mama Amina" unaifundisha nn jamii? Kwann mamlaka husika hazichukui hatu? Looh! Watu wa Kuzimu (watanzania) wakamjia juu Babu Tale.
Naomba kama unayo ya kuongezea uongezee.
KARIBUNI TULIPONYE TAIFA