Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Wanabodi;
Naona imekuwa trend sasa, kila kitu kinachohitajika na watanzania watawala na wanaitwa wasomi wanakizima kwa sababu ya ajabu sana......Gharama...".Hivi hao wanaosema gharama hiyo hela ni yao au ni ya Watanzania?Viongozi wote wa serikali na wasomi wanakula ktk migongo ya watanzania zaidi ya wanacho deliver kwa taifa la Watanzania.
Wakati wa kutumia na kufanya ufisadi GHARAMA KWAO SI SHIDA...hata majani tutakula,ila linapokuja suala la serikali tutayo, tunaambiawa gharama,Litapokuja suala la kuifuta CCM mpuuzi tendwa anasema gharama.Kwani akifa JK na Bilali katika ajali moja hatutarudia uchaguzi?
Nadhani imefikia mahali watu wajue gharama si sababu,kwani kila kitu kina gharama ni mipango tuu inayofanikisha kila kitu....tunaomba serikali zitakazohitajika na raia zipitishwe,km ni kuifuta CCM ifutwe....gharama ipi itakayozidi wizi,ufujaji wa hela na uzalishaji usiopo kabisa wa CCM?
KTK JINA LA GHARAMA TUSISIKIE TENA HUU UPUZI .
Nawasilisha.