Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Kuna kipindi kuelekea mwishoni mwa muhula wa 2015-2020 wa JPM, mambo yalikua very 🔥, ni wazi kabisa kulikua na kundi la vigogo kwenye chama na ndani ya mifumo ya dola walikua wanamhujumu hayati.
Katika kutapatapa na kujaribu kum 'flush' nyoka atoke pangoni ili apondwe kichwa, team ya hayati ilikua inamtumia Musiba kuwalipua waliohisiwa kuwa wabaya wa hayati (wasaliti).
Katika wengi waliotuhumiwa, kuna siku Musiba alisema ile akaunti ya twitter ya 'bwana fulani' inaendeshwa na mtandao wa watu fulani wazito wanye malengo ya dhati ya kumwondoa hayati, akawataja akina Nchimbi, Maria Sarungi , Zitto na wengineo.
Inawezekana lilikua ni jiwe la gizani tu kujaribu kupata 'reaction', lakini pia inawezekana Musiba alipewa 'credible intel' ni vile tu ......
Sasa, hii leo baada ya mama yetu mpendwa SSH kumpendekeza makamu wake, 'bwana fulani' amefura kweli huko twitter. Alitegemea kabisa kuwa Nchimbi ndio angeteuliwa lakini kinyume chake imekuwa Dr. Mpango. Hasira hizi za 'bwana yule' a.k.a 'mganga njaa' zimenifanya niwaze sana na nimkumbuke Musiba.
Anyway, kila la kheri Mheshimiwa SSH, ni jambo la muda tu mashambulizi yataanza kuelekezwa kwako. Nakuombea usichanganyikiwe kama hayati na kuanza kupiga nyundo kila anayenyanyua shingo.