Kwa jinsi 'Bwana fulani' alivyonuna Nchimbi kukosa Umakamu wa Rais, yawezekana madai ya Musiba yalikuwa na msingi

Mtu pekee aliyewahi kumtoa jasho la ulimi bwana fulani ni Yericko pale bwana fulani alipoanza kuishambulia Chadema! Ile battle ilibidi bwana fulani awe mpole [emoji41]
Unaogopa kutaja jina SOAB
 
NCHIMBI YUKO BRAZIL TOKA LINI? ALIKUWEPO KWENYE VIUNGA VYA DAR, PENGINE AWE AMEONDOKA BAADA YA JINA LAKE KUTUPWA KWENYE DUST BIN!! MKWERE ALIJIFANYA YEYE NDIO MWENYE CCM KUMBE CCM YA LEO HAIJUI!!!
Hilo genge ni la wahuni wachache Sana lakini wao wanajiona kama nchi hii wameishika wao.unajua hawakutegemea kabisa kama huyu mama ataibua kifaa kikali zaidi tofauti na wao.unajua Ile MDA Spika anasoma Ile barua kuna mbunge 1 wakundi Hilo la vibaka ameonekana wazi kabisa alivoishiwa fulaha gafra.
 
Mtu pekee aliyewahi kumtoa jasho la ulimi bwana fulani ni Yericko pale bwana fulani alipoanza kuishambulia Chadema! Ile battle ilibidi bwana fulani awe mpole [emoji41]
ilikuwaje...bwana koriye alitia biti gani?
 
Hilo genge wewe hulijui,walikuwa wamepania mtu wao akae hapo lakini kawahiwa,ana vimeo kibao sasa hivi amenyong'onyea hatari,Mama kaweka mtu neutral lakini mwenye msimamo.
Washamba sana hao.. ndio maana siku mbili tatu hizi yeye pamoja na genge lake la kina Maria wakajifanya kumpaka Mama mafuta kwa mgongo wa chupa..

Mtu wao katupwa wametangaza vita. Ni wajinga tu ndio wanashabikia wapumbavu sampuli yao
 
Mkuu na yule dada yetu wa heruf3 vp? Alikua yupo active sana kule nsta ila basi kumbe kaacha siasa.
 
Hakunaga mtu anaetajwa tajwa afu kweli anateuliwa washashindwa kujua kama mnamtaka mtu wenu fanyeni michakato ya kimya kimya,akitamkwa tu mjue jina linakatwa huko
 
Mazungumzo ya Membe hayakua ya kawaida kabisa Chief! Sema tu aliongea “kicheshi “ ila mpango wake na dhamira vilieleweka bayana! He is a ‘matured’ spy after all! And that’s the difference kati yake na Mzee Kinana, his words were bitter!
 
Hayati JPM aliondoa vile visemina vya kula pesa.

Huyu bibie ndie alikuwa mmoja wa wale watu walokuwa wakila kupitia visemina wakijiita wakufunzi au waendesha semina elekezi.

Hivyo hoteli, vinywani na vitafunwa vilianza kupotea.

Kwa hali yoyote ile mtu wajikuta waanzisha zogo.
 
Mkuu hata usipate shida, ukimuona mtu anakashifu utawala wa JPM ujue huyo mtu kwanza sio mzalendo, ni mbinafsi au alizoea kuishi kiujanja ujanja au kikanjanja na mirija yake ya pesa ikazibwa au alikuwa fisadi. Hao watu wameamua kutumia mitandao ya kijamii kumchafua hayat JPM kadri wawezavyo, lakini ukiwa nje ya hii mitandao raia wanamsifu na kumuombea JPM.
 
Na hapo shida ilipoanzia mwanzo walisema nguvu ya soda mara wakasema anarmtekeleza agenda za ghalfa wakaanza mtukana, yaani CHADEMA wamejishushia hadhi sana, na kwa mwenendo huu watapoteza uungwaji mkono wa wazalendo na watu wa daraja la chini wa nchi hii ambao ndio wengi. Agenda zao za democrasia, uhuru wa habari na katiba haziwezi kuwavusha maana wanachi wengi hizo ni kama sio agenda zao, zimekaa kisiasa zaidi. Mfano utamuambiaje raia wa hali ya chini kuwa katiba haifai wakati katiba hiyohiyo JPM katumia kufanyia maendeleo makubwa ndani ya miaka mitano na kwa katiba hiyo hiyo machinga mama ntilie walipata ukombozi chini ya JPM.
 
Aisee salute umechimba kuanzia route cause yan mzizi kabisa. si mtu sana wa haya mambo ila jana nimeshangaa sana na mim jins madongo yale. Hahaha mama kaucheza mwingi mnoo. mamb ya mikson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…