Kikwete ni moja kati ya Maraisi Bora kabisa kuwahi kutokea bara la Africa, Aliamini kwenye mijadala na ujenzi wa hoja! Amefanya vitu vingi vizuri nchi hii. Hayati Magufuli nae amepigania nchi yake kwa uzalendo wa hali ya juu. Wote hawa ni binadamu.Hana akili hiyo ya kuwa Rais hata baba yake aliupata URAIS kwa Bahati mbaya kwa Nchi; marehemu Mkapa alikiuka taratibu za uteuzi kwani kimaadili alikuwa hafai na ilijionesha katika utendaji wake!
Mazungumzo ya Membe hayakua ya kawaida kabisa Chief! Sema tu aliongea “kicheshi “ ila mpango wake na dhamira vilieleweka bayana! He is a ‘matured’ spy after all! And that’s the difference kati yake na Mzee Kinana, his words were bitter!
Ni wewe mkuu ila mie hapa JF nafikisha post 300 kwa siku, hasa ukipata sehemu ya kuzipost ni post chache mno hizo
Sio wote ambao ni crew ya Magu kwamba walikuwa wanamkubali wengine walikuwa wafuata mkumbo na watetea matumbo yao , si umeona crew yake nyingine ishaanza kuvaa barakoa au.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ila mimi imani yangu angekuwa ni zaidi ya mtu mmoja wangekuwa washapalaganyika.
Na pia najiuliza kama ni mtu mmoja mbona alali? 24/7 yupo online? Mwaka mzima?
Na amini inawezekana pia akawa Ghost kukidhi vigezo vya juu hivyo viwili.
Hakuna shida amini unachokiaminikwani alikataza mtu kuvaa barakoa??
halafu unajuaje labda uliyemuona na barakoa that day alikuwa na kikohozi???
Africa ili ufanikiwe lazima utoe mfumo uliopita...Jamaa anatoa taarifa kutoka white house moja kwa moja kirahisi tu...
Hiki ni kiashiria tosha white house kuna a lot of moles...
Na ukiniambia huu mtandao umejengwa baada ya the late kuingia pale inaleta ukakasi... Unfavourable environment!
It took time kujenga huu mtandao na ulijengwa katika favourable environment...
Na sidhan, watu wasio kuwa na uzoefu wa kutosha na White House wanaweza unda huu mtandao...
Ila sijui ni kina nani.
Yericko Nyerere ukija kwenye kuilinda Chadema hana mfano. Kama "jamaa" zetu wamemshindwa bwana fulani wampe fungu Yericko apige kazi [emoji851]ilikuwaje...bwana koriye alitia biti gani?
Kulikuwa na Haja Gani ya Kikwete kujitetea Msibani....Yericko pekee ndio walimshindwa .... pale ndio niliacha madharau kwa mbutu boy [emoji38]
Kwani Chadema sio wachumia matumbo?Aiseee kazi ipo CCM sijui Kama Kuna litakalobadilika mageuzi ni muhimu Sana upinzani jipangeni sana , maccm Ni machumia tumbo tu yanajiangalia yenyewe tu badala ya nchi .
Walimshindwaje Mkuu ,sehemu gani yericko alibabanishwa wakamshindwa?Yericko pekee ndio walimshindwa .... pale ndio niliacha madharau kwa mbutu boy [emoji38]