Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Dah! Kwahiyo Jana hakuwepo kikaoni?NCHIMBI YUKO BRAZIL TOKA LINI? ALIKUWEPO KWENYE VIUNGA VYA DAR, PENGINE AWE AMEONDOKA BAADA YA JINA LAKE KUTUPWA KWENYE DUST BIN!! MKWERE ALIJIFANYA YEYE NDIO MWENYE CCM KUMBE CCM YA LEO HAIJUI!!!
HATA AKIZIRA KUHUDHULIA MIKUTANO MIKUU INAYOANDALIWA, YOU SHOULD REST BE ASSURED HE WILL NOT BE MISSED AND EVERYTHING WILL GO ON AS PLANNED.
Pengine na Mama walitaka atangulie, makamu wao awe RaisKwa kweli Bwana Fulani amepata makasiriko sio ya dunia hii. Inashangaza kidogo, cheo cha VP hakina madhara makubwa mpaka pale Rais anapopata shida. Sijui kwanini watu wamekwa wakali kiasi hiki. Kama mtu ni mbovu, ni bora kawekwa huko VPO kuliko kuwa MoF. Yaani mtu hata kuapishwa bado, watu wametoka povu lote.
Anajidai issue ya Dr.Mpango aliisema muda sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila tumeshaona Makamu can rise into ranksHalfu umakamu ni position ambayo unaweza kumutiwa kirahisi sana.
Mkuu akiamua kupuuzia ushauri wako utamfanyaje.
Unabaki unakula na kunenepa bila kazi.
Sahihi, lakini mpaka kwa conditions kadhaa.Ila tumeshaona Makamu can rise into ranks
Kwani Hayati wamemtanguliza?Pengine na Mama walitaka atangulie, makamu wao awe Rais
NimekukubaliView attachment 1739057
Mtu mmoja hawezi kufikia limit ya tweet....
Kwa saa unatakiwa upost tweets 100 ambapo mara 24 ndio zinakuwa 2400
Ili upost tweet 100 kwa saa inabidi utumie wastani wa dk 0.6 kuandika.
Sasa imagine ndani ya saa moja ana andika ana retweet ana interact na services zingine za twitter, hii picha nyingine inaonesha aliandika tweets 20 ndani ya saa(tweet moja kila baada ya dk 3) this is impossiple per person
View attachment 1739060
Mkuu mimi bado namsubiri akiweka picha na video ya mazishi ya magufuli hapo nitaweka notification kabisa
Coach Slamah Hamad kwani huyo veronica nitampataje hapo FB nitajie majina yake yote mawili
Pengine na Mama walitaka atangulie, makamu wao awe Rais
Kifo ni haki ya kila mtu.Eeeh naona nyoka mmetoka kwenye mapango yenu....
Haki nilijua umeaga dunia kumbe vumbi la Magu lilikutupilia mbali...
Naona umerudi rasmi kumtetea ukhty mwenzio.
Coach Slamah Hamad ni personal account au ni group ambapo lipo fb?Veronica France
Karibu tena dimbaniKifo ni haki ya kila mtu.
Hapa mwishoni umemalizia vibaya ndugu. At the moment Nobody is ready for thatWewe unafuata mkumbo tu.mabilioni yamechotwa badala ya kuhoji unaleta habari za Musiba,sijui akina Nchimbi na wengineo.Kwa taarifa yako Nchimbi yupo Brazil kama Balozi wetu.Kule kuna lockdown ya corona hivyo yupo huko.Jamani muandike vitu vinavyoeleweka.Mjadala wa VP ushafungwa.Tunachoomba ili kuwadhibiti hao wanaojiita Vigogo ni Serikali ya Sasa kuachia uhuru wa vyombo vya habari,kuwaruhusu wapinzani kunadi sera zao bila bugudha,Kuunda Tume Huru ya Uchaguzi,kuwe na demokrasia ya kweli,kukubali kukoselewa(constructive criticism)n.k
Hahaha...ukisha kula nyama ya binadamu kamwe huwezi kuacha!Hivi unadhani serikali haitambui walo nyuma ya Kigogo2014?
Usishangae raisi wa sasa akipata ushirikiano wa karibu.