Kwa jinsi ninavyowaona Wana wa Israel wakiwa Hai baada ya kushikiliwa na Hamas Kwa mwaka 1 Naamini Deus Soka wa Tanzania yu Hai!

Kwa jinsi ninavyowaona Wana wa Israel wakiwa Hai baada ya kushikiliwa na Hamas Kwa mwaka 1 Naamini Deus Soka wa Tanzania yu Hai!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni Imani yangu Deus Soka na wenzake kadhaa waliotekwa katika Mazingira yanayofanana kabisa na Ule utekwaji wa Wana wa Israel watapatikana wakiwa Hai

Hadi sasa Hamas imeshawaachilia Wana wa Israel 7 wakiwa katika Afya njema kabisa

Tuendelee kuweka Imani Kwa Mungu wetu wa Mbinguni

Nawatakia Dominica NJEMA 🌹
 
Back
Top Bottom