Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwenye hili wala hata mimi binafsi sipo na wewe; bora TUMEFUNGWA na Kenya. We unakwenda kuzungumza habari za sisiemu kwa taifa stars ili iweje? Hujui kuna wengine hatuna vyama, kuna wengine wana amini katika upinzani na wengine wanaamini katika ccm, mbaya Zaidi taifa stars ni team ya Tanzania, then what to do with mkuu wa mkoa wa Dar? Binafsi naombea hata Algeria watufunge walau goli 5 hivi. Misimamo yetu ya kisiasa ilipo humu jukwaan, hata wachezaji na wenyewe wanayo vile vile so tusichukuliane POUWA.......... furahini kiasi tu maana hajafungwa Makonda peke yake hata Tz pia imefungwa.
Kwa maelezo yako tatizo ni Makonda! Ila Tz ni zaidi ya Makonda kumbuka hilo na waliofungwa jana ni timu ya taifa ya Tz sio ya Makonda usiruhusu chuki zikutie upofu.Kwenye hili wala hata mimi binafsi sipo na wewe; bora TUMEFUNGWA na Kenya. We unakwenda kuzungumza habari za sisiemu kwa taifa stars ili iweje? Hujui kuna wengine hatuna vyama, kuna wengine wana amini katika upinzani na wengine wanaamini katika ccm, mbaya Zaidi taifa stars ni team ya Tanzania, then what to do with mkuu wa mkoa wa Dar? Binafsi naombea hata Algeria watufunge walau goli 5 hivi. Misimamo yetu ya kisiasa ilipo humu jukwaan, hata wachezaji na wenyewe wanayo vile vile so tusichukuliane POUWA.
Mwinyi alipowaita kichwa cha Mwendawazimu mlikuwa mshaingiza siasa?
Kaka, sitabadiri msimamo hadi huyo anayetaka kupata SIFA za kijinga aache na pia huyo anae ingilia taaluma za watu aache, huyo ambaye alikua anataka kuupindisha SIFA azipeleke kwingine pia aahce, huyo ambaye ana kejeri watu na taasisi aache; mshauri huyo kwanza kuachana na hayo mambo na mimi nitbadir msimamo. Hivi kama angeendeleza Utanzania wetu badala ya usisiem angepungukiwa na nini?Kwa maelezo yako tatizo ni Makonda! Ila Tz ni zaidi ya Makonda kumbuka hilo na waliofungwa jana ni timu ya taifa ya Tz sio ya Makonda usiruhusu chuki zikutie upofu.
Ndilo jawabu...Mwinyi alipowaita kichwa cha Mwendawazimu mlikuwa mshaingiza siasa?
Makonda amewashinda maana wabunge wetu walipokuwa kule misri timu ilipigwa mbili kavu. Lakini leo tunasema tumeona jitihada za kuwatia moyo vijana wamejitahid mbili kwa tatu siyo mbaya.
Subiri mchezo ujao watawashangaza kwa kushindwa game la Algeria moja bila.Lkn watashinda wakiacha mchezo wao wa defence game hausaidii washambulie mwanzo mwisho watashinda
Hata kiswahili South Africa wamechukua walimu toka Kenya maajabu kabisa haya... nchi yenye sera zisizo rafiki na watu wake... sera dumazi na zisizojali ustawi wa watu...
Tunafeli na hawajui kwanini tunafeli!!!
Wakenya watusaidie kumtukana kwa usiku wa leo kesho alfajiri watuachie na mtu wetu tuendelee kumtukana.
Ndio unieleweshe sasa wewe unajua mienendo ya soka. Ila swali langu lipo pale pale kwamba je wakati Rais Mwinyi anasema timu yetu ni kichwa cha mwendawazimu, siasa ilikuwa tayari imeingizwa kwenye soka?Hujui ulisemalo na hujui maana na mienendo ya soka.