Goli LA Leo simba la kusawazisha lilikua ofside boss, waamuzi wameamua kupetaEleza pale walipobebwa
Mbona gemu za yanga hamchambuiGoli LA Leo simba la kusawazisha lilikua ofside boss, waamuzi wameamua kupeta
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka yanga pembeni toa jibu hapo kwa uelewa wako goli la kwanza ni offside au sioMbona gemu za yanga hamchambui
Yanga katokea wapi hapo,,,mpe majibu Yanga hajacheza leoYanga ni kama mwanamke mwenye mimba kwa hiyo ni tumewazoea tu maana kila kitu kulalamika mkiongozwa na wachambuzi maandazi wa redio na magazeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote Simba na yanga wanapata matokeo kwa kubebwa na waamuzi . ila Simba kaongoza kubebwa kwa mechi nyingi zaidiYanga ni kama mwanamke mwenye mimba kwa hiyo ni tumewazoea tu maana kila kitu kulalamika mkiongozwa na wachambuzi maandazi wa redio na magazeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
TFF + Masaa 72 + Hans Mabena= Kimba fcYanga ni kama mwanamke mwenye mimba kwa hiyo ni tumewazoea tu maana kila kitu kulalamika mkiongozwa na wachambuzi maandazi wa redio na magazeti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio kuchambua , LAkin c ilikua of side auMbona gemu za yanga hamchambui
Mo anamzidi nini Rostam na Gharib wa GSMPesa .....pesaaaa.....pesandio sabuni ya rohoooooo!!!!....mwenye pesaaaa.....mwenye pesaaaa....mwenyepesa sio mwenzioooo