Kwa jinsi Wanaovuta bangi wanapendana, binadamu wote tulipaswa kuishi hivyo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.

NB: Mimi sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na upendo Asilia.

Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity

I guess Weed ni therapy
 
Upendo usiokuwa na nguvu za kiuchumi za kumwinua mtu kutoka katika madhira yanayomkumba mtu ni ujinga! Wavuta bangi wananguvu gani za uchumi za kuinuana zaidi ya kumegeana vipisi vya bangi na kuimba nyimbo za rastafarian na kugonga "jaaaah! jaaaah" huku wamekondeana kwa ukata na kubeba mizigo mizito ya nywele kichwani??
 
AAA ah 😁😁😁 don't hate people
 
.
Mkuu ebu kaa chini kwanza utulie alafu unywe maji moyo uelee. Tuendelee ulikua unasema?
 
Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.

NB mm sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na UPENDO Asilia.

Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity

I guess Weed ni therapy
Naomba Kutambua vigezo vya bluetick au kuwa verified na bluetik hapa JF tafadhal
 
Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.

NB mm sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na UPENDO Asilia.

Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity

I guess Weed ni therapy
CHAI
 
Upendo usiokuwa na nguvu za kiuchumi za kumwinua mtu kutoka katika madhira yanayomkumba mtu ni ujinga! Wavuta bangi wananguvu gani za uchumi za kuinuana zaidi ya kumegeana vipisi vya bangi na kuimba nyimbo za rastafarian na kugonga "jaaaah! jaaaah" huku wamekondeana kwa ukata na kubeba mizigo mizito ya nywele kichwani??
Kwani upendo wa misikitini na kanisani umemuinua nani kiuchumi
 
Back
Top Bottom