DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Upendo usiokuwa na nguvu za kiuchumi za kumwinua mtu kutoka katika madhira yanayomkumba mtu ni ujinga! Wavuta bangi wananguvu gani za uchumi za kuinuana zaidi ya kumegeana vipisi vya bangi na kuimba nyimbo za rastafarian na kugonga "jaaaah! jaaaah" huku wamekondeana kwa ukata na kubeba mizigo mizito ya nywele kichwani??
.Upendo usiokuwa na nguvu za kiuchumi za kumwinua mtu kutoka katika madhira yanayomkumba mtu ni ujinga! Wavuta bangi wananguvu gani za uchumi za kuinuana zaidi ya kumegeana vipisi vya bangi na kuimba nyimbo za rastafarian na kugonga "jaaaah! jaaaah" huku wamekondeana kwa ukata na kubeba mizigo mizito ya nywele kichwani??
One of the best thread this year.Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo...
Naomba Kutambua vigezo vya bluetick au kuwa verified na bluetik hapa JF tafadhalUkitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.
NB mm sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na UPENDO Asilia.
Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity
I guess Weed ni therapy
CHAIUkitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.
NB mm sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na UPENDO Asilia.
Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity
I guess Weed ni therapy
Kwani upendo wa misikitini na kanisani umemuinua nani kiuchumiUpendo usiokuwa na nguvu za kiuchumi za kumwinua mtu kutoka katika madhira yanayomkumba mtu ni ujinga! Wavuta bangi wananguvu gani za uchumi za kuinuana zaidi ya kumegeana vipisi vya bangi na kuimba nyimbo za rastafarian na kugonga "jaaaah! jaaaah" huku wamekondeana kwa ukata na kubeba mizigo mizito ya nywele kichwani??