Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Maana yake?Rulel
-12π37
Hao mashangazi niachieni mimi wakuuWanawake wengi wanazeeka mapema.
Mtu ana 24 ila anaonekana shangazi la 30.
Ila wao utasikia nina 21. Mtu unabaki kushangaa.
ππππHuo umri wa nini? kuna sensa au nini ? tuache
Nzuri hiyoKawaida tu..44yrs and proud age go.