Kwa jirani zetu wakenya kuna wasichana warembo na wazuri.Huu ndo ukweni

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Baada ya kufanya utafiti usio rasmi Leo nahitimisha kwa kusema katika nchi za East Afrika Kenya kuna mademu wakali kuliko nchi zote.Kuanzia Shepu(Chura),reception/mapokezi/sura na rangi hadimu.
Sitaongea mengi ila picha zitajieleza zaidi .Note:Utafiti unapingwa kwa utafiti kama unakataa utafiti wangu basi weka picha zako hapa
 
Rwanda hii hapa.


http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/f8641f57a3f9f959c50c56b18d9421cb.jpg[
/IMG]
 
Huku nilipo kusikojulikana,kuna dem wa kikenya nishampataga sbb ya kiswahili
“napendaga sana swahili ya ki TZ” ,hapo hapo sikulaza damu
Huko kwao Diamond na Alikiba wanauzika kuliko bongo
 
Mama Danny nyumbani mzuri kushinda hawa,hiyo minyama tu ila in reality hawana lolote la ziada zaidi ya kuvaa miguo ya kubana ili kuonyesha miili yao.
 
Weee Kenya ipi hiyo yenye wachuchu wa kumtoa mwanaume udenda...

Unamaanisha Kenya hii hii ya wala githeri...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…