Aisha Adam
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 460
- 104
Hbr za mchana wapendwa!
Jana ktk story na wafanyakazi wenzagu tulipewa story ifuatayo na mkaka mmoja:
Ni mfanya kazi mwenzetu ila alikuwa na katabia ka kutembea nje ya ndoa yake miezi kadhaa iliyopita na sasa kabadilika hatuwaoni tena wale mabint aliokuwa anawachanganya ikabidi tumuulize mbona kabadilika, bwana weee! ndo akapata kutujuza yaliyompata kama ifuatavyo;
Kuna siku alikutana na mdada akamtamani akawa na hamu ya kudo nae ndo akamfata na yule dada akamkubalia, wakaenda wote guest ulipofika wakati wa majambozi wakavua nguo zao wakabaki uchi wa mnyama, yule kaka akashangaa kumuona dada aliyekuwa na ka face kazuri kuona mwili wake wote anamabakamabaka kama ya chui na kitu yake ilikuwa imesimama ghafla ikasinyaa na hamu ikaisha akaona atafute jinsi ya kumkimbia yule mdada ikabidi ajifanye anapokea simu ya bosi ghafla akamwambia yule mdada kuwa anaitwa ofisin haraka sana akamwacha yule dada akamwambia kuwa anarudi mda si mrefu, toka siku hiyo anasema aliogopa na hajawai kutembea tena nje ya ndoa yake.
Haikuishia hapo akatupa na nyingine aliyosimuliwa na mwenzake kuwa yeye huyu mwenzake aaliwahi kumchukua binti akaenda nae kwake alikuwa hajaoa kumbe huyu dada alikuwa anaumwa kifafa kama kawaida huyu kaka hakujua yeye yaliyomkuta ni kama ifuatavyo;
yeye huyu yalimkuta kwenye game katikati si ugonjwa wake ukamkamata huku wapo kwenye game.Alivyomaliza kutusimulia akasema toka siku hiyo hajawai na hategemei kutembea nje ya ndoa yake na anamuomba mungu amuongoze ktk hilo.
Mi namalizia nikisema hivi mwenzako akinyolewa na zako tia maji