Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Kwa hiyo nyie masifadi wadogo aka heche,mnawaonea wivu mafsidi wakubwa!😃😃😃,mnataka na nyie mfisadi kwa kimo kirefu!,ujinga wa kiwango cha sgr, ana nini jipya kwa mwananchi wa kawaida?
Endeleeni kutafuta rasilimali za Taifa letu lkn mjue kuwa ipo siku mtazitapika
Kuteleza si kuanguka,amesimama tena!Mwanri huyu aliyeanguka ubunge mara tatu Siha ndio mnamsifia?.
Hatuzungumzii majungu hapa.Kwa hiyo nyie masifadi wadogo aka heche,mnawaonea wivu mafsidi wakubwa!😃😃😃,mnataka na nyie mfisadi kwa kimo kirefu!,
Kama chadema inaamini katika usafi na unyoofu,bw.heche kwanza akae pembeni.
CCM akitoka chuma anaingia chuma daima.Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!
Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)
Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.
Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.
Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.
We know Ccm wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"
Ni MatejooView attachment 3641842
Utekaji na mauwaji ya October 29 ni doa kubwa,halifutiki,halifichiki,hata aje msukuma hapo Bado ni tatizoCCM akitoka chuma anaingia chuma daima.
Agrey Mwanri ni chuma chenye uzoefu mkubwa sana katika uongozi wa chama na serikali, na kwahivyo atakua na mchango mkubwa sana katika kuleta mabadiliko na kuiimarisha zaidi CCM, ili iendelee kupendwa, kuaminika na kukubalika zaidi kwa wananchi 🐒
Gentleman,Utekaji na mauwaji ya October 29 ni doa kubwa,halifutiki,halifichiki,hata aje msukuma hapo Bado ni tatizo
Huyo njaa kali anaenda na upepo, usitegemee huyu ndo yule wakati wa mzee magufuliKwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!
Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)
Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.
Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.
Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.
We know Ccm wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"
Ni MatejooView attachment 3641842
ccm ni ile ile hata aje Malaika wa mbinguni.Kwa hili acha niseme ,mkiamua kuniokotea mawe mnipige fresh tuu!!!
Pichani ni mzee wa sukuma ndani Agrey Mwanri, hapa Ccm wametisha sana kumrejesha mwamba mchezoni tena kwa wakati sahihi, huyu ni mwamba wa siasa za uwajibikaji mkali, uzalendo, na vitendo vya papo kwa papo kitaalamu tunaita (populism ya kiutendaji)
Mzee wa "Sukuma Ndani": Huu ndio utambulisho wake mkuu unaosisitiza kuweka pembeni maneno mengi na badala yake kushinikiza uwajibikaji na nidhamu ili kupata matokeo ya haraka.
Mwanri pia ni mzuri sana katika Siasa za Majukwaani na Ucheshi: Anatumia lugha ya picha, sauti ya juu, na misemo ya kuvutia ili kufikisha ujumbe mzito kwa wananchi na watendaji wa serikali.
Mwanri pia ni (Field-Oriented):
Si mhasisi wa siasa za kukaa ofisini; anajulikana kwa kukagua miradi site na kuwawajibisha wahandisi na watendaji mbele ya kadamnasi.
We know Ccm wana karata nyingi nzuri za kuzicheza kwa wakati huu na karata ya Mwanri imwkuja wakati muafaka "sukuma ndani"
Ni MatejooView attachment 3641842
Watakapo kuja chadema itageuka mambo yatageuka!?ccm ni ile ile hata aje Malaika wa mbinguni.
Mabadiliko hayaepukiki! Na ccm ikidondokea pua Tanganyika itapiga hatua kadhaa mbele!Watakapo kuja chadema itageuka mambo yatageuka!?
Ujinga kitu mbaya sana/ mshurutisheni HECHE akae pembeni asinganganie madaraka, AHOJIWE?