Kwa karata hakika, hongera tele kwa CCM

Gentleman,
hizo porojo na dhana potofu hazina athari zozote katika kuimarika kwa CCM, kukubalika kwa CCM na kuaminika zaidi kwa CCM mbele ya wananchi na waTanzania wote πŸ’
Ni porojo kwamba hakuna mauwaji yaliyotokea oktoba 29 yaliyofanywa na watu wasiojulikana? Ni porojo kwamba hakuna utekaji uliofanywa na watu wasiojulikana?. Haya hayachafui taswira ya nchi?
 
Gentleman,
hizo porojo na dhana potofu hazina athari zozote katika kuimarika kwa CCM, kukubalika kwa CCM na kuaminika zaidi kwa CCM mbele ya wananchi na waTanzania wote πŸ’
Propaganda Kwamba hakuna utekaji uliofanywa na watu wasiojulikana? Kwamba hakuna mauwaji yaliyotokea oktoba 29 yaliyofanywa na watu wasiojulikana? Na kwamba hakuna taswira ya ccm iliyochafuka?
 
Kwamba yeye ndiye atawafanya watanzania wavumilie kutekwa?.
 
Hana tofauti na Bambo ua Kingwendu
 
Hupigwi mawe ni maoni Yako,ila mmechelewa Maana jua limezama Kwa mboga,hataokoa lolote,sanasana wataona ni maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…