Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?

Ndo ivo ndugu, Kaondoka bila kukupa hata u-DC si haki maana kama uchawa ulimfanyia kwa moyo wako wote.
 
uchaguzi mwingine wa rais tufanye 2035 aongoze kwa miaka 20 mfululizo.
Walipanga na kudanganyana hivyo.

Jamaa katoka nduki kaacha Chatiah yake ikichakaa na kuteketea.

Haya maisha ya Duniani hakuna mwanadamu anayafahamu..
 
Ndo ivo ndugu, Kaondoka bila kukupa hata u-DC si haki maana kama uchawa ulimfanyia kwa moyo wako wote.
JF was ment to be the home of great minds ila imetokea ma GT wa ukweli wanahesabika, vilaza ni wengi humu kuliko ma gt, wale wote wanaonidhania mimi ni chawa, ujue ni vilaza, ma gt wananijua mimi sio chawa!.
P
 
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi!
 
Shetani ndie mwenye kuweka Madikteta,halafu Mungu huwatoa.
God is the creator of everything, the devil is the destroyer of God's creation. Mungu ndie huziweka tawala zote za mataifa hata Magufuli ni Mungu alimuumba na kumfanya awe rais wetu. Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika na Rais Magufuli azidi Kuthibitisha kuwa ni Rais wa watu, anawasikiliza watu Hakuna cha 'Mswalie Mtume' big Up Rais Magufuli
P
 
Watu wamejifanya kushangaa sana kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, angalieni tarehe ya bandiko hili. Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Watu wanashangaa nini wakati alichosema Nape ni ukweli mtupu?.

Mimi nasisitiza, Nape apewe maua yake! Kuelekea 2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?
P
 
Kuna vitu kuhusu uchaguzi wetu hadi amevisema Polepole ndio watu wamefunguka macho!, hivi vitu vilikuwepo na vilikuwa vinafanyika siku zote, na bado tunafanya uchaguzi. Polepole, Asante kwa ukweli wako kuhusu kiini macho cha Uchaguzi. Hoja ya tusishiriki, haina tija tena na Uchaguzi Upo!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…