johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ninafikiri amemaanisha chama cha Mzee Cheyo ndiyo kinahitaj nafasi hiyo. yeye amehusishwa kwa kuwa ni kiongoz wa chama hiko na ndy maana ameelezea zaidi ya kiti kimoja cha ubungeMtake radhi Mzee Cheyo....ina maana bado anataka jimbo?.
Wewe hukusikia maombi ya mzee Cheyo kutaka majimbo mawili ili akawatetee wakulima wa pamba bungeni?!afadhali umekiri kuwa kulikuwa na mpangpo wa kuwaachia majimbo ya upendeleo
True, lkn amepata courage ya kusema hayo baada ya Boss wako kusema hakuna mpizani atakaye tangazwa. Na hii rush ya kutokeza kwa wingi wanaamini kuwa akishapitishwa, tayari ni mbunge kwa vile hakuna mpinzani atakaye tangazwa. Unknowingly nawe kukakiriWewe hukusikia maombi ya mzee Cheyo kutaka majimbo mawili ili akawatetee wakulima wa pamba bungeni?!
Kama hamtatangazwa mbona mnashiriki uchaguzi?!True, lkn amepata courage ya kusema hayo baada ya Boss wako kusema hakuna mpizani atakaye tangazwa. Na hii rush ya kutokeza kwa wingi wanaamini kuwa akishapitishwa, tayari ni mbunge kwa vile hakuna mpinzani atakaye tangazwa. Unknowingly nawe kukakiri
Tunaweka rekodi sawaKama hamtatangazwa mbona mnashiriki uchaguzi?!
Amejilegeza akaliwa sio!Bila kujali mleta uzi lengo lako ni nini, lakini Mbatia ni mjinga wa kiwango cha juu, yeye alikuwa ni wa kujilegeza kwa jiwe, wakati inafahamika wazi jiwe ni mwanasiasa mlaghai tu?
Labda ndio maana wanaitwa NYUMBUKama hamtatangazwa mbona mnashiriki uchaguzi?!
CCM Mpya waachie Jimbo,Kata,Kijiji au Kitongoji au nafasi yoyote hao mavuvuzela waliojikatia tamaa ya mapambano?Salama yao ni kukubali kutumika kuwadhoofisha wapinzani wa kweli.Kasi imekuwa ni kubwa mno na wagombea ni wengi kuliko ilivyotarajiwa kwa upande wa CCM.
Ikumbukwe kuwa mzee Cheyo aliomba mbele ya mwenyekiti wa CCM kwamba waachiwe majimbo mawili au matatu.
Kadhalika Nccr mageuzi ilitegemewa kupata majimbo kadhaa kuwahifadhi wahamiaji kutoka Chadema.
Lakini kiukweli mambo yanaenda kasi kila mtu apambane na hali yake hakuna wa kulaumiwa.
Maendeleo hayana vyama!