Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
Mh... kwa mwendo wa kuwajua wote hao na avatar yako mkuu, lazma ulikuwepo wewe😀
karibu yakhe, yaelekea mwenyeji wenye, ndio mambo ya ID ya pili au ulikuwa guest tu
Lugha zako zote makorokochokaribu jamani,karibu sana ss kwa lugha ya kwetu twasema votre accueil kifaransa lugha ya mama,الترحيب منكم lugha ya baba.
Lugha zako zote makorokocho
Lugha zako zote makorokocho
we acha tu uncle,alafu therengeti yake ni kichina
Hilo neno Makorokocho uncle wako aliambiwa anaandika makorokocho alilia kinoma mbaya zaidi mwanafunzi alikuwa wakike
Nyie pia ni makorokocho, hebu jioneni mlivyokuwa watundu.
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
Karibu sana umbea kusema wenzako, manung'uniko, uache hapo hapo mlangoni kabla UJAKAA JAMVINI
mimi leo umeifanya ijumaa yangu ikamilike vizuri Prisoner umenichekesha sana!!! I hope PM imeenda sasa
nafurahi kuona hapa umekuwa mwenyeji zaidi!!! safi sana!!
no stress mkuu!!Mkubwa BHT si unajua tena mashkolo mageni!! sasa usijari tudogo tudogo tchaoo nashukuru umenisave sana mkubwa