Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Bunge la Kenya linafanya mabadiliko ya katiba ili Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee apate ushindi wa kishindo hata kama uchaguzi huo utakuwa na kasoro.
Makamu wa Rais Willam Ruto amepanga kumrithi Rais Uhuru Kenyatta baada ya muda wa utawala wake kumalizika 2022 kwa mabadiliko ya katiba Ruto asitegemee kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kwani kunauwezekano mkubwa Ruto asikubalike na jamii ya wakikuyu, Ruto akiamua kugombea urais kupitia chama kingine ajue yaliyomkuta Raila Odinga yatamukuta Ruto mwenyewe. Kunauwezekano Uhuru akagombea tena na Gideon Moi akawa mgombea mwenza. Hakuna kitu kibaya kama kufanya mabadiliko ya katiba kwa manufaa ya mgombea fulani.
Waswahili husema ukimuona mwenzako ananyolewa wewe tia maji.