Kwa Katiba Kubadilishwa Kenya Ruto Asitegemee Kuwa Rais 2022

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
Bunge la Kenya linafanya mabadiliko ya katiba ili Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee apate ushindi wa kishindo hata kama uchaguzi huo utakuwa na kasoro.
Makamu wa Rais Willam Ruto amepanga kumrithi Rais Uhuru Kenyatta baada ya muda wa utawala wake kumalizika 2022 kwa mabadiliko ya katiba Ruto asitegemee kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kwani kunauwezekano mkubwa Ruto asikubalike na jamii ya wakikuyu, Ruto akiamua kugombea urais kupitia chama kingine ajue yaliyomkuta Raila Odinga yatamukuta Ruto mwenyewe. Kunauwezekano Uhuru akagombea tena na Gideon Moi akawa mgombea mwenza. Hakuna kitu kibaya kama kufanya mabadiliko ya katiba kwa manufaa ya mgombea fulani.
Waswahili husema ukimuona mwenzako ananyolewa wewe tia maji.
 
Umeamka? Unajua nani ni popular leader wa kikuyu mbali na Kenyatta? Unajua nani ni popular leader wa wajaluo mbali na Raila?
Unafahamu mabadiliko ya sheria yanahusu nini?
Unaonaje ukakaa kimya kwenye mambo usiyoyajua?
 
To add up.....
Raila ana tatizo la ubinafsi! Narcissistic kind of leader like our Pres Magu! Ruto atashinda kiurahisi kuliko Kenyatta! And I bet Musyoka will be his running mate.
 
Umeamka? Unajua nani ni popular leader wa kikuyu mbali na Kenyatta? Unajua nani ni popular leader wa wajaluo mbali na Raila?
Unafahamu mabadiliko ya sheria yanahusu nini?
Unaonaje ukakaa kimya kwenye mambo usiyoyajua?
Wewe umelala Uhuru Kenyatta will not leave power. Atabadilisha katiba kugombea tena
 
kweli kabisa...heri angekaa kimya...hamna analolijua...
 
Wewe umelala Uhuru Kenyatta will not leave power. Atabadilisha katiba kugombea tena
Another wasted sperm! Uhuru anaondoka 2022 hujui hata agreements walipokubali kuunda Jubilee, can you please concentrate on local politics?
 
Umeamka? Unajua nani ni popular leader wa kikuyu mbali na Kenyatta? Unajua nani ni popular leader wa wajaluo mbali na Raila?
Unafahamu mabadiliko ya sheria yanahusu nini?
Unaonaje ukakaa kimya kwenye mambo usiyoyajua?
Subiri 2022 wewe huwajui hawa wakikuyu Uhuru Kenyatta atagombea Gideon Moi atakuwa running mate wake.
 
Umeamka? Unajua nani ni popular leader wa kikuyu mbali na Kenyatta? Unajua nani ni popular leader wa wajaluo mbali na Raila?
Unafahamu mabadiliko ya sheria yanahusu nini?
Unaonaje ukakaa kimya kwenye mambo usiyoyajua?

Uko sahihi kabisa jamaa ameandika juu ya kitu ambacho haelewi which is bad. Kilichobadilishwe kwenye katiba hasa ni kuhakikisha mfumo wa electronic and manual(physical) inaheshimiwa na siyo kutegemea electronic ambapo hata Ulaya inafika pahala wanasehabu kura kwa kufungua masanduku. Kama Jaji Mkuu (Chief Justice) na koti yake kuu wangalisema masanduku ambayo yamelikuwa yamefungwa kwa lakiri, yafunguliwe na kuhesabu kura mshindi angelijulika
, ni wazi kuwa Taifa la Kenya halingepoteza pesa nyingi kwenye marudio Kshs 12 billion sana na Tshs.252 billion ambazo zingalitumika kwenye maendeleo ya shule hospital au barabara. Pili kama washindani ni wawili na kama mmoja akijiondoa kama Baba Raila then aliyebaki atangazwe kuwa ni Rais halali na tatu katika tume ya uchaguzi kama mwenyekiti akiachia ngazi au akifa basi makamu wake ashike usukanu na nne kura za kwenye kupigia kura ziwe final kwa sababu kuna wawakilishi wa vyama vyote na mwisho kama returning officer katika vituo vyote baada ya kupiga kura akikataa kutia kidole gumba (sahihi) kwenye fomu, atafungwa miaka mitano jela. Sasa hapa bunge limekosea nini?! Sasa Mhe Raila hapa amejua hataweza kushinda kwani amekimbiwa na wengi sasa anataka mkate nusu yaani serikali ya mseto ili angaa awe Waziri Mkuu kama 2007!!!!! Sasa kabaki na ngome mbili/tatu tu Kibra, Kisumu(Nyanza) na Mombasa wachache.
 
Wewe umelala Uhuru Kenyatta will not leave power. Atabadilisha katiba kugombea tena
Wewe basi ndio umelala ndugu, ilipofikia Kenya sio ya kuongeza muhula wa urais.

Uhuru hawezi kugombea tena 2022, ungeijua siasa ya Kenya wala hili hata usingelidhania.
 
Badala ya kutuuliza mswali, ingekuwa vyema ukatupa maelezo ya hao wakabila wenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…