Kwa kauli hii Rais Museveni amewajbu wale mnaopenda kukurupuka na kuchukia Marais bila sababu

Kwa kauli hii Rais Museveni amewajbu wale mnaopenda kukurupuka na kuchukia Marais bila sababu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
He said:

I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni

Yaani akimaanisha ya kwamba:

Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri.

Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7 mnakubaliana naye au mnamkatalia?

Chanzo Habari: The Citizen
 
Huwezi kutenganisha taasisi yeyote ya Urais ya africa na wizi na ufisadi.

Ni vipi uwe na majukumu ya urais ndio utajirike? kwanini usitajirike kabla? Miaka 33 Ikulu halafu unasema wewe ujaiba kwann ang'ang'ania madaraka kama sio mwizi?
 
Kuna siku binadamu mmoja asiye na aibu atadiriki kutamka hadharani kuwa hajawahi kumhonga hawala yake nyumba ya serikali.
 
He said:

I have never stolen and I am rich - Ugandan President Yoweri Museveni

Yaani akimaanisha ya kwamba:

Hajawahi kuiba tokea awe madarakani, wala kuwaibia chochote kile Waganda lakini yeye ni bonge la tajiri.

Je, Waswahili (ukimuondoa GENTAMYCINE tu) mnaomsakama Museveni 24 / 7 mnakubaliana naye au mnamkatalia?

Chanzo Habari: The Citizen
yeye anaona kama kachukua tu sio kaiba, ila sisi tujuavyo kaiba acha ajidanganye mwenyewe tu na wewe ungana nae katika hilo
 
Back
Top Bottom