johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee majina ya mifukoni yako Chadema....... Muulize mzee Sumaye na Dr Slaa!Mwenyekiti mwenyewe ni mfuata utaratibu? Kama yeye na genge lake wana majina yao mfukoni, anategemea nini?
Mtakutana naye Tarime bwashee!Mwita Waitara ni kati ya wanasiasa wa hovyo kabisa...sio kwa sababu alihama upinzani, wapo waliohamia upinzani wastaarabu tu
Jamaa ukimsikia akiongea dah, CCM chinjieni mbali hii takataka muweke mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee majina ya mifukoni yako Chadema....... Muulize mzee Sumaye na Dr Slaa!
Ccm dodoma 2015[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uraisBwashee majina ya mifukoni yako Chadema....... Muulize mzee Sumaye na Dr Slaa!
Mi sio bwasheeMtakutana naye Tarime bwashee!
Kuna wakati watu hujifunza na kubadilika. Japo mimi siyo mfuasi wa CCM, lakini Rais Magufuli ametoa hotuba/maneno mazuri kwenye kikao cha viongozi wa CCM juu ya taratibu zitakazotumika kuwapata wagombea. Lakini pia alieleza kuwa uchaguzi utakuwa wa haki.Mwenyekiti mwenyewe ni mfuata utaratibu? Kama yeye na genge lake wana majina yao mfukoni, anategemea nini?
Kuna wakati watu hujifunza na kubadilika. Japo mimi siyo mfuasi wa CCM, lakini Rais Magufuli ametoa hotuba/maneno mazuri kwenye kikao cha viongozi wa CCM juu ya taratibu zitakazotumika kuwapata wagombea. Lakini pia alieleza kuwa uchaguzi utakuwa wa haki.
Kilichobakia ni kusubiria na kuona kama Rais Magufuli atatembea juu ya maneno yake. Karibu awamu zote, marais wamekuwa hawafanyi vizuri kwenye miaka 5 ya mwanzo. Hujirekebisha wakati wa kipindi cha pili. Hata Magufuli anaweza kufanya vizuri kipindi cha pili. Wengine watashangaa kwa nini nazungumzia kipindi cha pili wakati hajachaguliwa. Ukweli ni kuwa napenda Rais Magufuli apate challenge ya uchaguzi wa ushindani wa haki lakini siamini kama anaweza kushindwa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa mwaka huu hata kama kukiwa na Tume huru.
Bwashee majina ya mifukoni yako Chadema....... Muulize mzee Sumaye na Dr Slaa!