Kwa kauli hii ya Zelensky kuhusu misaada ni wazi kuwa upigaji na ubadhirifu haupo Afrika tu, hata Wazungu wanapiga

Intricate

Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
56
Reaction score
162
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.

Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine.

Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni anasema kuwa kuna USD BilionI 100 haelewi zimeenda wapi kwani hazijafika nchini Ukraine kama ambavyo ilipaswa kuwa

Zelensky anasema:

"Nimesikia Wamarekani wakisema kwamba Ukraine imepokea Dola Bilioni 177 kutoka kwao. Ukweli ni kwamba tumepokea dola bilioni 75 tu.
Kwa hiyo, pale watu wanaposema kuwa tumepokea Dola Bilioni 177 au hata 200, ukweli ni kwamba hatujawahi kupokea kiasi hicho"

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukiona Afrika imekuwa ikijulikana duniani kama Mount Everest ya ufisadi na ubadhirifu pamoja na kuwa na viongozi wapigaji.

Lakini kwa kauli hii ya Zelensky ni wazi kuwa hata huko Marekani pia kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea ndani ya serikali yao.

Msaada ulipitishwa tangu April mwaka jana, kwanini mpaka sasa hivi haujafika? Na pia ni nani alikuwa anahusika kutia saini ya mwisho ili msaada huu ufike Ukraine?

Kuna muda unaweza kusema Trump anaonea nchi masikini kwa kusitisha misaada lakini kumbe kuna watu wachache huko Ughaibuni wanatumia mwanya huo vibaya kwa kujinufaisha wao

ZL.png

=============================================================
President Volodymyr Zelenskyy has clarified that of the approximately US$177 billion in aid approved by the US for Ukraine, the country has received about US$76 billion.

"When I hear – both in the past and even now – from the US that America has provided Ukraine with hundreds of billions [of dollars] (177, to be precise, based on what Congress approved), as the president of a nation at war, I can tell you – we’ve received more than US$75 billion.

So, when people talk about US$177 billion or even US$200 billion, we’ve never received that. We’re talking about tangible things because this aid didn’t come as cash but rather as weapons, which amounted to about US$70 billion.

But when it’s said that Ukraine received US$200 billion to support the army during the war – that’s not true. I don’t know where all that money went. Perhaps it’s true on paper with hundreds of different programmes – I won’t argue, and we’re immensely grateful for everything. But in reality, we received about US$76 billion. It’s significant aid, but it’s not US$200 billion."

Source: Ukrainska Pravda
 
Attachments

  • Screenshot_20250205_002437_TikTok.jpg
    Screenshot_20250205_002437_TikTok.jpg
    322.7 KB · Views: 5
Binadamu tunafanana. Serikali na mifumo yake ndio hutofautiana nchi na nchi. Wapigaji wako kote kuanzia DPRK, China, uarabuni, Africa, ulaya hadi Americas.
 
Hio 100 ndio ile walitumia kulipia askari na wajane waliofiwa na waume zao kule vitani pamoja na vifaa vya kivita walivyokua wanawapelekea sijaona upigaji hapo mimi
 
Kama naanza kumuelewa Trump.

Kumbe hata wao nao wanaongeza maziro kwenye matumizi.View attachment 3225583
Kwamba tupambane na kidogo chetu kwenye ya msingi...inawezekana!
Tukilima vizuri, tutauza chakula kwa majirani.
Imagine,ndani tuna deficit ya cooking oil tunayoagiza ya 500m...hii yote tukipanga inabaki ndani!
Mahindi,Maharage,kilimo bado ni deal sana kwetu, na kitaajiri vijanaa wengi mno!
 
Mkweli nani sasa USA au Ukraine? labda kama walitumia wakala wa VodaCom Tanzania, Hiyo pesa haiwezi kupotea, Labda kama Russia ilizipokea huko Ukraine.
 
Kwa sisi tuliofanya kwenye NGo za wazungu tunajua upigaji wao
 
Binadamu tunafanana. Serikali na mifumo yake ndio hutofautiana nchi na nchi. Wapigaji wako kote kuanzia DPRK, China, uarabuni, Africa, ulaya hadi Americas.
Watakuja wasenge hapa na kuropoka kuwa Uarabuni hakuna upigaji kisa dini inakataza
 
Kwa mbali kama naanza kumuelewa Trump.

Hivi karibuni, nimeona Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy akisema kuwa kati ya Dola Bilioni 177 ambazo zilipitishwa na Bunge la Marekani ni Dola Bilioni 77 tu zimefika kama misaada ndani ya Ukraine.

Zelensky akizungumza na wanahabari hivi karibuni anasema kuwa kuna USD BilionI 100 haelewi zimeenda wapi kwani hazijafika nchini Ukraine kama ambavyo ilipaswa kuwa

Zelensky anasema:

"Nimesikia Wamarekani wakisema kwamba Ukraine imepokea Dola Bilioni 177 kutoka kwao. Ukweli ni kwamba tumepokea dola bilioni 75 tu.
Kwa hiyo, pale watu wanaposema kuwa tumepokea Dola Bilioni 177 au hata 200, ukweli ni kwamba hatujawahi kupokea kiasi hicho"

Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukiona Afrika imekuwa ikijulikana duniani kama Mount Everest ya ufisadi na ubadhirifu pamoja na kuwa na viongozi wapigaji.

Lakini kwa kauli hii ya Zelensky ni wazi kuwa hata huko Marekani pia kuna ubadhirifu mkubwa sana unaendelea ndani ya serikali yao.

Msaada ulipitishwa tangu April mwaka jana, kwanini mpaka sasa hivi haujafika? Na pia ni nani alikuwa anahusika kutia saini ya mwisho ili msaada huu ufike Ukraine?

Kuna muda unaweza kusema Trump anaonea nchi masikini kwa kusitisha misaada lakini kumbe kuna watu wachache huko Ughaibuni wanatumia mwanya huo vibaya kwa kujinufaisha wao

View attachment 3225814

=============================================================
President Volodymyr Zelenskyy has clarified that of the approximately US$177 billion in aid approved by the US for Ukraine, the country has received about US$76 billion.

"When I hear – both in the past and even now – from the US that America has provided Ukraine with hundreds of billions [of dollars] (177, to be precise, based on what Congress approved), as the president of a nation at war, I can tell you – we’ve received more than US$75 billion.

So, when people talk about US$177 billion or even US$200 billion, we’ve never received that. We’re talking about tangible things because this aid didn’t come as cash but rather as weapons, which amounted to about US$70 billion.

But when it’s said that Ukraine received US$200 billion to support the army during the war – that’s not true. I don’t know where all that money went. Perhaps it’s true on paper with hundreds of different programmes – I won’t argue, and we’re immensely grateful for everything. But in reality, we received about US$76 billion. It’s significant aid, but it’s not US$200 billion."

Source: Ukrainska Pravda
Batanzani baione hii
 
Back
Top Bottom