sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,405
- 10,637
Habari wakuu Leo nmemkuta mdada dukani anaongea na simu nikashtuka mno
Huwa simuamini anavaa bangili za kiganga nyeusi mkono wa kushoto hujitanda shungi
Leo jioni naenda kununua kitu dukani kwa kaka yake yeye ambapo huuza nikasikia akisema tumia UNGO.
Nikaomba nachohitaji uku akiongea kwa kutokujiaamini na aliyekuwa akiongea nae akasema akamuuliza yule mtu kwani bibi yako hakukuachia?
Basi tumia UNGO zunguruka bahati nzuri alikuja mtoto Mimi akanihudumia nikaondoka nikamuacha mtoto nmeshtuka sana
Nb : sikuwa namuamini asilimia mia Mshana Jr