figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
CCM wanasema wanautaka muungano lakini hawataki serikali tatu, hii imekaaje?. Ninavyo jua mimi serikali mbili tayari zipo ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ambayo imejificha, na serikali ya tatu ni ya Muungano.
Tatizo la CCM wanafikiri wanaweza kuipoteza Tanganyika kwenye uso wa dunia.
Mimi naomba niwakumbushe kwamba tunachokiongelea ni katiba mpya sio iliyopo. Kila kitu kitakua kipya so wazoee tu!.
Nakubari serikali zilizipo ni mbili lakini zitakazo kuwepo katiba mpya ni Tatu. mia