figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
CCM imefanya makosa makubwa hivii miaka ya karibuni.CCM wanasema wanautaka muungano lakini hawataki serikai tatu, hii imekaaje?. Ninavyo jua mimi serikali mbili tayari zipo ambazo ni Zanzibar na Tanganyika ambayo imejificha, na serikali ya tatu ni ya Muungano.
Tatizo la CCM wanafikiri wanaweza kuipoteza Tanganyika kwenye uso wa dunia.
Mimi naomba niwakumbushe kwamba tunachokiongelea ni katiba mpya sio iliyopo. Kila kitu kitakua kipya so wazoee tu!.
Nakubari serikali zilizipo ni mbili lakini zitakazo kuwepo katiba mpya ni Tatu. mia
CCM imefanya makosa makubwa hivii miaka ya karibuni.
Kosa la kwanza ni kukaa kimya waksti wazanzibari wanapinga vikali muungano, hilo limefanyika kwa takriban miaka mitano mizima au zaidi.
Katika muda huo waTanganyika eamlielewa vizuri sana somo la muungano, domo baya kwa muungano walilokuwa wakilipuuzia.
Kosa la pili ni CCM kukaa kimya wakati Zanzibar wanachezea katiba ya muungano.Katiba ya Zanzibar kwa sasa ni kutambua kuwa Zanzibar ni nchi kwa minajili ya kuelekea sovereignity.
CCM KIMYA !!
Kosa la tatu, ni kujaribu kupinga mapendekezo ya Tume ya Rasimu ya katiba mpya, inayoitwa Tume ya Warioba.
Chama chetu hiki kimefika mahala kimekuwa reactive badala ya kuongoza.
CCM imeamka wakati kwa wananchi walio wengi ni mchana tayari.
Hongera wewe kwa kuliona hilo wenzie bado wana upofu!
Kweli kabisa, tayizo la CCM ni kuruhusu Zanzibar kujiimarisha ndani ya muungano, sasa Tanganyika wanataka nchi yao.hivi tanganyika iliwakosea nini ccm?. mi naona tanganyika haina maenedeleo sababu inaongozwa na wageni. mfano waziri wa afya hussein mwinyi ni mzanzibar lakini anatoa maagizo hadi kigoma. zanzibar wanajitambua sababu wameweza hadi kutunga katiba yao sababu wanajiongoza. je ni mtanganyika gani kashapata hata uongozi wa nyumba kumi zanzibar?. mia