Kwa Kauli hizi za Tajiri Mo sasa ni rasmi Mdogo wangu Mchezaji Jonas Gerald Mkude unatakiwa Kubadilika upesi

Umetisha sana unahitaji tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa

Kwanini Mkuu? Hata hivyo Napokea Kongole / Pongezi zako hizo. Kwahiyo kuanzia leo JamiiForums Members wote wawe wananiita Dr. GENTAMYCINE au?
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 Mkuu uko more updated na informed aiseee....I salute you. Huwa napenda sana makala zako humu ndani hasa za kuongea ukweli.
 
Yametimia

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hapo ni mwanzo tu wa madhara ya mguu wa CHIKWENDE.Subirini jumatano boss atamfukuza mke wake kwa hasira 🤣🤣🤣
 
Wema sepetu Tena[emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe uliyosema muda kitambo sasa ni dhahiri.
 
Thibitisha
 
Inatakiwa wanasimba tujifunze na kuutambua wimbo wa Taifa! Ni aibu Hadi Haji Manara hajui wimbo wa Taifa la Tanzania una beti ngapi!? Daah! Aibu sana
Wimbo wa Taifa? wa nini sisi simba. Mambo hayo waachie wale wanaojiita et sijui "wananchi" SIYE MAKOMBE NA USHINDI VINATOSHA KUTUPA FURAHA

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Hii kali.Wafipa tuna msemo wetu huwa tunaseme "impiya isyakala nkantu".Yaani huwezi kuwa na pesa halafu ukaenda baa ukanunua pombe iliyolala ya jana yaani ukiwa na pesa huwezi kununua haramu.
Nawapa pole vijana waliopata nafasi Simba kisha wanaichezea,heri simba ishindwe kusonga mbele lakini idhibiti nidhamu ya wachezaji.

Simba nguvu moja.
 
GENTAMYCINE, Umetisha sana unahitaji tuzo ya heshima ya udaktari wa falsafa
Huyu anatisha sana kwa posts za humu kama Mkude anavyotisha kwenye holding midfield dimbani, lakini anatakiwa ajirekebishe kuacha kuporomosha matusi kama ambavyo Mkude anatakiwa ajirekebishe kwenye ulevi
 
Upo deep
 
Kuonyana ni kubembelezana solutions ni kumpiga chini, klabu ni kubwa kuliko mchezaji
 
Analysis ya kinyabe Sana!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…