Chadema watanuna na kuchukia.Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.
Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia
2015 Bernard Membe ninatosha
Nape anatafuta uwaziri kwa kujilambisha kwa kwenye jiwe.Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.
Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia!
Na jinsi tulivyo na wajiitao wakubwa kumbe ni bure kabisa usishangae kumuona Khasimu akiambiwa lala chini na kula viboko na akasema hewala.Kiongozi anaongoza nchi kutokana na "MOOD" atakayo amka nayo asubuhi. Hatari sana.
Kuna siku ataamka na "MOOD" ya kupiga viboko raia nchi nzima. Mshangilie na hilo likitokea.
Mara paap amefungwa bao la mkono.Haya sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa mbunge jimboni Mtama ndugu Nape Nnauye.
Wanamtama zaidi ya 2600 wamewawakilisha wananchi wenzao kusaini form za udhamini za Rais Magufuli ili aweze kupata fursa ya kugombea Urais kupitia CCM.
Hongera wana Mtama kwa kutambua kazi zilizofanywa na Rais Magufuli na hivyo kuendelea kumuaminia!
2015 ahadi za Bernard Membe bado zinaishi 2020