Pre GE2025 Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bora nawewe umeliona hili, watu wanafata mkumbo nani kasema na wao wamo. Hawafikirii jambo kiundani. Alichosema Nape ni wizi. Sijaona mtu humu akiibiwa kaja kumpongeza mwizi wake.

Zaidi ya kutoa laana, nasi tulitakiwa tulaani na kushinikiza chochote kinachoweza kusaidia. Tunaweza kushinikiza viongozi wa mpira, waachie madaraka. Ila si viongozi ambao ndiyo mustakabali wa nchi.

Kuna kitu hakipo sawa kwa Watanzania, kuna sehemu kuna namna. Kama ulivyosema wamekuwa wakifundisha uoga na kisujidia viongozi, nakubaliana nawewe.
 
Alcohol brings best out of a man ndiyo yaliyomkuta nape, kapiga serengeti zake halafu anatoa mipango yao ya kuiba kura. Ilitakiwa mama wala asisubiri usiku angemtumbua straight away kumpa adabu kidogo.
Thubutu! Mama wa Kizimkazi amtumbue bingwa wa magoli ya mkono! Sana sana atamsogeza karibu ili aweze kushirikiana vizuri na Abdul na Bashite!
 
Nape amekosea sana,amefanya kusudi kuongea kauli hiyo.Hatujui dhumuni la kufanya hivyo ni nini,ameongea hivyo kwa maslahi ya nani,ametumwa na nani na kama ameongea kwa utashi wake ni Kwa nini aongee maneno hayo wakati huu Chaguzi zinaanza,anapata faida gani?
Kauli yake inapata uzito wa kipekee,japo si mara ya kwanza kuongea hayo.
Falsafa ya Kiongozi wa sasa ni 4R's,kwa mtu aliyekuzwa Kisiasa na amewahi kutumikia nafasi kubwa kama Katibu wa Itikadi na Uenezi na sasa Waziri wa Habari,mouthpiece ya Serikali ni Dharau kubwa kuongea maneno Yale mbele ya Umma.
Nape awajibishwe,au awajibike.Vinginevyo,tutaamini huyu Mama KIZIMKAZI mmemuweka mfukoni.
Mnashangaza sana siku hizi,Raia anatekwa,anateswa,ananusurika kuuwawa halafu BOSI wenu anakuja kulipia matibabu!
Ina maana hajui kinachoendelea!?
Au mfumo umeasi?
 
KKube
Kumbe ccm ni majizi ndio najua leo
 
UMENENA VEMA KABISA
 
Amos Makalla anatakiwa aombe msamaha kwa kusema uongo, Nape anapaswa kupongezwa kwa kusema ukweli. Kila siku huwa nasema Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box ka kura, sasa wahusika halisi wa huo upuuzi wanajitokeza kukiri.

Nashangaa kuna watu wanaaminishwa eti kuna 4r's za Rais, hivyo wanaongopewa wajitokeze kushiriki uchaguzi maaana rais ana nia njema. Rais ana nia njema, lakini rais mwenye nia njema hataki tume huru ya uchaguzi! Ni watu wajinga tu watajitokeza kupiga kura kwenye hizi chaguzi zetu, maana Nape amekiri ukweli ambao wanaccm wote huwa wanaukwepa. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi tu ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Sure
 
Tena CHADEMA wamwandikie barua Nape ya pongezi
 
Paskali najua wewe ni mzee wa meditation naomba ufafanue hizo two missteps alizosema dr ian ndlovu ya kwanza ni DPW hilo halina ubishi ya pili je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…