Kwa kauli ya Rais Samia Tanzania ya viwanda imeota mbawa

Kwa uongo tu hongera

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada unaifahamu vizuri historia ya uchumi wa tanzania miaka ya 1981 hadi 1984? Ikiwa jibu ni ndio unaweza kulinganisha ,aelezo yako ktk kipindi hiki na miaka hiyo ambapo tulisita kuagiza bidhaa kutoka mataifa ya nje?
Ajue wapi naye n mtoto wa 95's

Hao Kaz yao n kusifu na kuabudu kijan naona mama kafanya uhakiki mpya wa kuwalipa Hawa wanamapambio naye kawekwa kando

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kulinda viwanda vya ndani kwa gharama ya wananchi masikini, it’s strictly NONSENSE.

Viwanda vijitetee kwa ubora na wingi wa bidhaa ili viuze nje pia.
 
Ila nakumbuka alijinasibisha kuendeleza falsafa ya aliekuwa boss wake, ndio maana akaja na kauli ya kazi iendelee.
Sio kwamba tumpe muda, huenda neema ikaja na Ilani ikatimia in the course of kuifungua nchi na kujenga diplomasia ya uchumi.
Kumbuka Chief Secretary ni mwanadiplomasia akitokea Japan, Waziri wa mambo ya Nje alikuwa Katibu Mkuu (W) mambo ya nje, ashakaa marekani, so wana exposure hawa
 
Maendeleo ya watanzania yataletwa na watanzania wenyewe.
 

Eti Tanzania ya Viwanda, vipi?
 
Kwani viwanda tanzania vimeanza lini ukiachilia mbali uongo wa magufuli na genge lake?
 
Nyie wapuuzi mnawaza kuchoma vifaranga vya kuku,
 
Wakati wa Nyerere ndio nchi ilikuwa na viwanda, wakati wa mwendazake viwanda ilikuwa ni porojo na usanii mtupu!
Enzi ya mchonga viwanda vingi vilikuwa state owned.
Ila kwa kuwa serikali ilijitoa kwenye kumiliki na kuendesha viwanda, kuna initiatives JPM kafanya ikiwemo kumpatia Bakhresa heka elfu 10 na kumshawishi awekeze kwenye kuzalisha sukari.

Kuanzishwa kwa plant ya kusafisha dhahabu kwa asilimia 99.9 na serikali ikiwa mwanahisa kupitia STAMICO

Kuanzishwa kwa Kabanga Nickel




Tanzania's President John Magufuli on Thursday launched a 136 billion Tanzanian shillings (about 59 million U.S. dollars) leather factory in Kilimanjaro region


THE 50bn/- worth leather factory launched by President John Magufuli in Morogoro Region
 
Tunawe tu maji ya tope.Nchi ni yetu sote kazi iendelee.
Nawasalimu kwa jina la .... eeeh nasema uwongo jamani 😊
 
Sasa tuendelee kuzuia bidhaa za nje huku tuna uhaba kisa tunataka kujenga viwanda ? That is NONSENSE 🐒
 
Bila umeme wa bei rahisi unaoaminika na mikopo/funding isiyo na riba za kuuana zitabaki kuwa porojo tuu, Education and funding ni lazima kama tuna nia ya kuleta mapinduzi ya viwanda, sioni sababu ya Fred Vunja bei kwenda China kununua vinguo vya polyester kuja kuuza Tanzania na kuwa billionea, tumelala sana tuamke
 
Tumepigwa tu kwa huyu mama. Umeme, maji ni shida. Umeme unakata, mara unarudi, unakata tena.. yani ni vurugu tupu. Hamna anachofanya kabisaa zaidi ya ushkaji basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…