Kwa kauli zinazotolewa dhidi ya Hayati Magufuli ni wazi kuna wenye wivu na aliyofanya kwa miaka 6 ya utawala wake


Kichaa ni Ugonjwa!..sio Kashfa.Kama Malaria tu.
 
Inasemekana alishaajiitaga Jiwe, wakati nyerere alikataza kwa msisitizo kua jiwe...

Inasemekana alishawahi kusema "Ndiyo maana nikamchagua waziri aliyekua kichaa kama mimi"

Maneno uumba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…