Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,134 Apr 17, 2011 #1 .............
Mom JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 708 Reaction score 31 Apr 18, 2011 #2 kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia
kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia
Mom JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 708 Reaction score 31 Apr 18, 2011 #3 kama unamnyonyesha mtoto ni kawaida kuna wanaokaa hata zaidi ya mwaka, lakini usisahau kutumia kinga kwani unaweza kuconceive.
kama unamnyonyesha mtoto ni kawaida kuna wanaokaa hata zaidi ya mwaka, lakini usisahau kutumia kinga kwani unaweza kuconceive.
Mayasa JF-Expert Member Joined Aug 19, 2010 Posts 583 Reaction score 295 Apr 18, 2011 #4 Hadi uache kunyonyesha.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Apr 18, 2011 #5 Tumekupata,shukrani.........
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,134 Apr 20, 2011 Thread starter #6 Mom said: kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia Click to expand... Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana .
Mom said: kama unamnyonyesha mtoto ni normal kabisa kuna wengine hukaa hata zaidi ya mwaka. lakini usisahau kutumia kinga unaweza kuconceive pia Click to expand... Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana .
Nyamayao JF-Expert Member Joined Jan 22, 2009 Posts 6,966 Reaction score 2,357 Apr 20, 2011 #7 Ennie said: Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana . Click to expand... ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa....
Ennie said: Ahsante mom na hapo kwenye kinga ndio penye tatizo maana huwa natumia calenda sasa inaniwia vigumu sana . Click to expand... ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa....
Ennie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 7,137 Reaction score 4,134 Apr 20, 2011 Thread starter #8 Nyamayao said: ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa.... Click to expand... Mwenzangu! Kama unatupa mawe kizani vile!
Nyamayao said: ni ngumu sana kutumia kalenda kwenye hiyo hali dear coz hujui cku wala saa.... Click to expand... Mwenzangu! Kama unatupa mawe kizani vile!