Binadamu tunatofautiana lakini kama unakunywa maji na matunda vizuri hata Mara moja kwa siku inatosha. Angalia size unaweza kupata large size moja asubuhi au medium mbili au small size tatu.
Hii pia inategemea na aina ya chakula unachokula mkuu. Kama ni mtu wa kula vyakula vya ngano ujue ukijitahidi sana utakata gogo mara moja tu kwa siku tena kwa mbinde sana.
Ila ukiwa mlaji wa vyakula laini na matunda kwa wingi utakata gogo mara mbili per day tena huku unasoma gazeti lako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.