Hii pia inategemea na aina ya chakula unachokula mkuu. Kama ni mtu wa kula vyakula vya ngano ujue ukijitahidi sana utakata gogo mara moja tu kwa siku tena kwa mbinde sana.
Ila ukiwa mlaji wa vyakula laini na matunda kwa wingi utakata gogo mara mbili per day tena huku unasoma gazeti lako.