Kwa kichapo cha mashabiki tutaogopa kuja uwanjani

DBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2012
Posts
218
Reaction score
93
Ni jumamosi ya tar 17/09 pale uhuru stadium kushuhudia mtanange kati ya simba sports club na wanalambalamba Azam makosa wanayofanya walinzi wa mageti ya pande zote yanapelekea polisi kuwachapa virungu vya kila eneo mashabiki waliojitokeza Uhuru kiukweli iliniuma sana kushuhudia damu inayotirirka mithili ya maji ktk bomba lililopasuka hii yote ni uzembe wa kutojali muda .

Mamlaka husika iliangalie hili kwa ukaribu sana inawalinda wale tu wachache wanaoingia kwa viingilio vikubwa na kusahau hawa wenye viingilio vidogo ni wengi zaidi na si wakupuuzwa hata mara mojaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…