Kwa kigezo cha uhitaji wa mchezaji mzoefu wa kimataifa, kwa Larry Bwalya Simba SC tumekosea

Kama kweli tuna weledi wa kuzingatia technical bench basi Senzo asingetukimbia, Simba tulianza vizuri lakini sasa tunaanza kupoteza uelekeo.
Naona unaficha uyanga wako ila uyanga unagoma kujificha..
 
Reactions: Tui
Najiridhisha kweli ww ni MINYANI FC. Umeng'ang'ania uzoefu. Kwan hao wazoefu walitoka mbinguni?
 
Shiboub haendani na mfumo wa mwalimu Sven ndo maana hata benchi alikuwa hakai.....
Sio tumeshindwa kumtumia yeye ndo kashindwa kubadilika.
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
 
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
Una leseni ya ukocha daraja lipi?Au ndio yale yale ya kuongelea rocket science wakati hata shule hujaenda???
 
Una leseni ya ukocha daraja lipi?Au ndio yale yale ya kuongelea rocket science wakati hata shule hujaenda???
Basi Kama Ni hivyo kwanini msimbadilishe chama awe beki
 
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
Mabadiliko kwa shiboub hayakuwa kama unavyoyaeleza hapa.....
Shiboub alikuwa anachezeshwa namba 8.....
Asa sijui tatizo liko wapi
 
Reactions: Tui
Ni sawa na kumlazimisha Lewandoski acheze kiungo mkabaji wakati naturally yeye Ni striker au umbadilishe Messi awe beki wa Kati.Lazima uwelewe sio kila mchezaji anaweza kucheza nafasi nyingi tofauti
Kwa shiboub haikuwa hivyo.
Amechezeshwa namba nane ambayo anaimudu tatizo analog yeye
 
Reactions: Tui
Ukifukua makaburi hawa hawa Utopolo walikuwa wanalaumu tulipomsajili Tripple C. Ohh hana uzoefu ohh aliachwa na Al Itihad ya Misri. Ohh hana kiwango. Leo hata wao wenyewe wamekubali somo. Ngebe kwisha, finito, finished, slut.
 
Unapoteza muda kubishana na Utopolo. Wamemuajiri Senzo huku akiwa hana kazi ya kufanya. Mtendaji mkuu wa katiba ya Utopolo ni katibu mkuu. Watu wa karibu na Senzo wanashangaa jamaa analipwa tena kwa mkataba huku hana cha kufanya. Eti ilikuwa kuwapoza wanachama wao kwenye usajili wa Morisson.
 
Ww jamaaa hahahaha nimecheka mpaka nimeulizwa kwenye daladala
 
Kuna comment nyingine zinakujenga Mie uwaga siangalii mada kaanzisha nan Mie uwaga naangalia comment
 
Kuna comment nyingine zinakujenga Mie uwaga siangalii mada kaanzisha nan Mie uwaga naangalia comment
Ndio tatizo la humu jamiiforum wengi tunaangalia hoja katoa Nani bila kuangalia hoja yake Ina mantiki au haina mantiki hata kwenye jukwaa la siasa lipo hivyo hivyo kwa style hiyo sijui kama tutafika kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…