S Skype JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,266 Reaction score 1,633 Oct 22, 2014 #1 Mtu mwenye Advanced Diploma ya Project Planning and Management anaruhusiwa kusoma Masters degree? Ni hayo tu, natanguliza shukrani.
Mtu mwenye Advanced Diploma ya Project Planning and Management anaruhusiwa kusoma Masters degree? Ni hayo tu, natanguliza shukrani.
I and myself JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 328 Reaction score 324 Oct 23, 2014 #2 unaruhusiwa kama toka umalize advanced dploma yako utakuwa umefanya kazi kwa kipindi kisicho pungua miaka miwili au mitatu kama sijakosea, au uwe na upper second,
unaruhusiwa kama toka umalize advanced dploma yako utakuwa umefanya kazi kwa kipindi kisicho pungua miaka miwili au mitatu kama sijakosea, au uwe na upper second,