Kwa kikokotoo hiki ni wazi unakufa mapema kuliko hata ungepewa yote.

Kwa kikokotoo hiki ni wazi unakufa mapema kuliko hata ungepewa yote.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
 
Kuna anayekutwa na B7 kabla ya kustaafu halafu kuna atakayekufa akipewa M40 kwa mkupuo za kustaafu.

Za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Hela ya kwangu mnanipangia matumizi huu ni ujinga sana.Bado atakuja mwehu atasema hata mshahara mpewe kwa mafungu yaani kidogo kidogo maana mnazinywea pombe 🤣🤣🤣🤣kujiajiri raha sana tuko free from stress
 
Back
Top Bottom