Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
Hela ya kwangu mnanipangia matumizi huu ni ujinga sana.Bado atakuja mwehu atasema hata mshahara mpewe kwa mafungu yaani kidogo kidogo maana mnazinywea pombe 🤣🤣🤣🤣kujiajiri raha sana tuko free from stress