Kwa kikosi hiki, Brazil wasipobeba Kombe la Dunia naachana na mpira na JamiiForums natoka kabisa

Sasa wali qualify vipi kama wanasumbuliwa na mfumo wa kiuchezaji?.Tena mapema kuliko timu yoyote duniani?
 
hili kombe asipochukua argentina basi ni france
Waapiii,argentina hana ubavu tena.Tatizo lao ni lile lile kama la Brazil,mastaa kibao wasiyoshirikiana kwenye mechi.Timu inamtegemea mchezaji mmoja tu?.France sawa au Jermani.
 
Aaaaaa[emoji16][emoji16][emoji16] kuna wale jamaa wa 07/07/ wao hawana mbwembwe ila utaona tu uwanjani watu wanavyopoteana
 
.

This year asiombe akutane tena na Mashine gan/Merceds Benz wataolewa pamoja raisi wao.

Viva Argentina.....
We mnazi wa Argentina iliyoponea chupuchupu ku qualify,Bado unaamini Argentina ya 2014 ndiyo hii!!?
 
Umemsahau Musa Dembele(Barcelona)
 
Mkuu Brazil bado sana kikosi hicho hakitishi umri wa baadhi ya wachezaji upo juu....kuna ujeruman pia ufaransa zipo vzuri sana
 
Mkuu felipe luis ni left back hawezi pangwa na marcelo namba moja..... Pia miranda ni centre half hawezi cheza full back kma ulivyompanga hapo ila all in all kikosi kinatisha ila world cup haingalii majina kabisa.... Unaweza shangaa akatunguliwa hata na katimu kma iceland mpira ni dakika 90 ukiamka vibaya au ukafanya vijikosa kidogo imekula kwako
 
Kikosi kizuri ila mpira kitu kingine aisee. Timu inaweze ikawa nzuri ila makosa madogo kabisa yakaigharimu timu mazima. Au unaweza kuta timu nzuri ukashangaa wanapoteana.
Ni kweli nakumbuka brazil ya 2010 world cup ilikuwa imeshona haswaa ila mechi ya robo fainali free kick mbili tena za dakika ya mwisho ziliwatoa kwenye world cup ilihali walikuwa wametawala mechi na kuongoza kwa goli moja
 
Red card ya Felipe mello iliwacost
 
Hizi ahadi na nadhiri zenu IPO ck MTU atatembea uchi
 
Waapiii,argentina hana ubavu tena.Tatizo lao ni lile lile kama la Brazil,mastaa kibao wasiyoshirikiana kwenye mechi.Timu inamtegemea mchezaji mmoja tu?.France sawa au Jermani.

Ndio tatizo la waamerica ya kusini. All in All Argentina tunabeba.Mark my words.ujerumani aliponea chupuchupu ile final
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…