Kwa kikosi hiki, sitoshangaa Argentina wakitwaa ndoo mchana kweupee...

Basi safi maana kuna mtu aliniambia kua jamaa hajaitwa

Ameitwa mkuu...nimemcheki instagram jamaa anapasha yeye messi mascherano n.k kwa ajili ya mechi leo dhidi ya itay froendly match...tunaomba wasituumizie tu wachezaji wetu
 
Hao tumeshawazoe kila mwaka huwa wana kikosi bora kuliko timu zingine lakini hawachkuagi
 
Ameitwa mkuu...nimemcheki instagram jamaa anapasha yeye messi mascherano n.k kwa ajili ya mechi leo dhidi ya itay froendly match...tunaomba wasituumizie tu wachezaji wetu
Asante kwa taarifa mkuu, game ya leo mambo yataenda sawa naamini majeraha hayatatokea
 
Upepo wa Pesa USIKARIRI MKUU, ILE 7-0 BRAZIL MPIRA ULIWAKALIA KUSHOTO NA WALIVURUGWA BAADA YA NEYMAR KUUMIA NI KAMA FINAL YA 98 ALVYOUMWA RONALDO GHAFLA, MWAKA HUU ITAKUWA KNYUME. KWANZA BAADA YA WC GERMANY ALITANDKWA NA BRAZIL, UMESAHAU?
 
Binafsi sijaona ubora wowote wa kutisha wa Argentina as a team

Tatizo lao kuu hawa jamaa wanavipaji vya kutisha only forward line tu ukiangalia quality. Hapo IPO mbele tu ,huku messi,kule dyabala,di maria , aguero ,icardi or higuain gani hawa strikers wanaingia straight kwenye timu yoyote ile

Sasa rudi nyuma mabeki wa kawaida sanaaaa

Midfield pia ya kawaida sanaaa .huwezi ukashinda kirahisi na kikosi kama hicho , ila angalia wajerumani kuanzia keeper,mabeki,midfield wapi very strong ingawa forward line yao haifikii kwa Argentina individually lakini kwa timu naona wapo more complete
 
Upepo wa Pesa USIKARIRI MKUU, ILE 7-0 BRAZIL MPIRA ULIWAKALIA KUSHOTO NA WALIVURUGWA BAADA YA NEYMAR KUUMIA NI KAMA FINAL YA 98 ALVYOUMWA RONALDO GHAFLA, MWAKA HUU ITAKUWA KNYUME. KWANZA BAADA YA WC GERMANY ALITANDKWA NA BRAZIL, UMESAHAU?
Hahahaha mechi ya kirafiki

Germany niashine kaka katuchukulia confederation na kikosi B [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upepo wa Pesa USIKARIRI MKUU, ILE 7-0 BRAZIL MPIRA ULIWAKALIA KUSHOTO NA WALIVURUGWA BAADA YA NEYMAR KUUMIA NI KAMA FINAL YA 98 ALVYOUMWA RONALDO GHAFLA, MWAKA HUU ITAKUWA KNYUME. KWANZA BAADA YA WC GERMANY ALITANDKWA NA BRAZIL, UMESAHAU?
Kwa hiyo neymar akiumwa na nyie mmekufa, bila neymar hamuwezi kitu si ndio? Kwa hiyo neymar akiumia tena ina maana mnachezea saba tena??
 
Naona kuna kitu huelewi, ukisha kuwa na kiungo nzuri hata kama huna strikers wazuri jua una nafasi nzuri ya kushinda!! Mwaka fulan spain hawakua na namba 9 kabisa, ila walikua na viungo wakali wakiongozwa na xavi na iniesta alafu mbele akacheza fabregas kama false 9!! Mbona walibeba euro!!

Ujeruman wana defence nzuri na kiungo makin ikiongozwa na akina toni kroos,muller na ozil hapo tarajia ushindi!!
 
Hivi hiki ni kikosi tofauti na kile kilichostruggle kufuzu kombe la dunia kwa kushindana na timu za bara LA amerika pekee?.Kama ndo hiki wanaosema watachukua ubingwa watuelekeze na sababu kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…