Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Mb
MazezeleTutajie nyama kwa lugha yenu ya asili mnaitaje?View attachment 3018100
Inyama , kama ni tamu tunasema inyama nyaafuu!, gwegwegwee!Inyama ebomvu
Kwetu kama ni tamu tunasema inyama imnandiInyama , kama ni tamu tunasema inyama nyaafuu!, gwegwegwee!
Sisi kama nichache ama kidogo, tunasema inyama naandiKwetu kama ni tamu tunasema inyama imnandi
Kabla sijazeeka nilikuwa nadhani neno mboga hutumika kwa zenye asili ya majani tu.Ngoja nijifunze zaidi.Mboga