Kwa kina kaka wenzangu wa JF.....

Seriously speaking akiniomba nimuwekee dawa ya meno nitakavyo mpaka lzm akome asirudie tena maishani! Enzi za utumwa zimeisha zama nyingi sana

I definately don't make it my job or duty kumsafishia viatu...... I believe he is a grown a$$ man, vitu vilipo ndani ya uwezo wake ambavyo havimdhalilishi kijinsia afanye mwenyewe!

He is not a kid and I am not his mother!
 

well said gaijin, sioni sababu ya kumtunza mwanaume kama mtoto!
 
But he is your husband! Na hilo ndilo lililo kubwa zaidi!
 
Usimsumbue shemeji yangu kwa nia tu ya kujionyesha wewe kidume. Natumai shem atakuwa atakuwa anakupenda sana na kukurespect pia. Kazi kusaidiana, sio wewe ufanye zote au umtupie zote shemeji akufanyie.
nilichogundua ni kuwa niko fair sana kwenye ndoa lemme keep it up for love and respect
 
wakiwepo wakwe waliowatembeleeni... msaada kama uliotajwa bado unaendelea
 
@ Dark City... nasema kuwa wengine huwa wanajisahau.... atakuomba umfanyie kitu wakata anajua kabisa utafanya kwa shingo upande(sababu wewe ni gentleman)...mf, mmetembelewa na shosti wake na anakuomba ukaipue sufuria la maharage jikoni(mbele ya shostito wake)...!! Utafanya kwa moyo mkunjufu?!

Wakati mwingine wanatarajia msaada ambapo mazingira hayaruhusu... mwanaume atasaidia huku kiroho kinamuuma kwana nakuwa anahisi kama anaaibishwa....na kakatizo kanakuwaga hapo!!

Nadhani unanipata ninachojaribu kumaanisha.
 
Nimekupa Thanks, lakini hapo kwenye red angalia wakija wenyewe humu!!!!
 
Kwanza punguza jazba, pili, hakuna mwanume anayependa kufanyiwa kila kitu!...at least not one i know off!
 
Kila mtu afanye kinachompendeza moyoni saa nyingine mwanamke unajitahidi kwa hali na mali kumfanyia vyote lakini appreciation ni zero.
 

dah! Hapa mwanamke ni mtumishi wako na sio mpenzi wako
 

raha sana,
ukipata mwanaume wa hivi,
kuna wanawake wengine wana enjoy ndoa kweli!!:smile-big:
 
Duh! Naona una hisia kali kweli kweli, hata chembe ya mapenzi na huruma kwa huyo mwandani wako!!?? What if yeye akiamua kukusaidia kazi zako including hivyo unavyodhani vinamdhalilisha kijinsia while he is not your houseboy?
 
Ukitafakari vizuri, utagundua kuwa hizi kazi hapo awali zilikuwa za wanaume.......Ndipo Mungu akasema nitamfanyia MSAIDIZI wa kufanana naye........! Hapo ndipo alipoumbwa mwanamke!!! Sasa kama mwanamke ni msaidizi, kwa nini wanaume tunakataa wajibu wetu?? Sianzishi zogo ila kama nilivyoanza hapo juu,.......UKITAFAKARI! Mimi na mke wangu tunasaidiana kazi mbalimbali na wala sioni tatizo, maana najua nisingepewa MSAIDIZI, ningekoma kuringa!! Big Up kwa walionielewa!
 



Kwenye kitchen party zenu uwa amuambiwi kwamba Mume wako ni first born wako?
 
Si kweli kuwa mwanaume anapenda kumtumikisha mkewe hasa kama uwezo wa kifedha unaruhusu kuajiri mtumishi wa ndani. Kinachosababisha hali hiyo ni mwanamke kukosa confidence ya kuishi na mfanyakazi wa ndani. Mfano si rahisi kwa mwanaume kutoa pesa mfukoni na kumlipa mtumishi wa ndani ila kwa kawaida utampa mkewo pesa ili amlipe huyo mtumishi, lakini ni ajabu baada ya hata miezi minne unaweza kusikia mfanyakazi anataka kuondoka kwa kuwa hajalipwa mshahara ingali mwanaume kila mwezi huwa anampatia mwanamke wake pesa ya kumlipa mfanyakazi wake. Hali ni mbaya zaidi kwa wanawake wasio na kazi, Piga ua, mwanamke umpe pesa amlipe mfanyakazi hatafanya hivyo kwanza anahisi kuwa kazi wanafanya wote, chakula mfanyakazi anakula kuliko yeyey kwa nini amlipe, usheleweshaji huu wa mshahara ndio unamfanya mwanamke ajikute anafanya kazi zote yeye mwenyewe kutokana na tabia yake ya kutomjali mhudumu wa ndani
 
Vincent Augustino nimekusoma na niseme kuwa mara nyingi ina apply kwa wote pia
 
Huo ndio msimamo niliofunzwa kwenye kitchen party..... Kuwahe is not a child and I am not his mother🙂

natakuwa nimpende na nimsaidie mume wangu lknnimefunzwa kuwa nikosa langu kumuacha kukosea na kunigeuza
mtumwa....... Dawa ya meno nimuwekee!

Ningependa anisaidie Ila sio kwa vitu Kama hivyo na wala usiwe wajibu wake......

Nnaweza kumpigia polish viatu nikipenda Ila si wajibu na nisipomuona fanya asilalamike
 
Kila mtu afanye kinachompendeza moyoni saa nyingine mwanamke unajitahidi kwa hali na mali kumfanyia vyote lakini appreciation ni zero.

Hiyo sasa itakuwa bahati mbaya kwako.... na hiyo hali kakuzwa nao... you can't teach an old dog new tricks!:A S shade:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…