Kwa kina kaka wenzangu wa JF.....

Wewe unamsaidia wife wako hizo kazi?
By the way ni ushauri mzuri, nitaufanyia kazi nikishaoa!
...MKuu Geoff, unasemaje hapa?? najua wewe bado mpya mpya kwenye game!!!
 
...Ambassodor, vipi ndio harakati za kuelekea kutangaza nia nini?? Maana utapopita kutangaza kama ubavu wako haupo karibu wapiga kura wanakuona kama msela fulani tu.....haya changamoto nzuri mzee wa macho!!!
 
Mtoa mada kazidisha chumvi. Hakuna mwanaume wa aina hiyo. Hata kuwekewa dawa kwenye mswaki?
 
I think this scenario is a bit on the extreme side, hasa kwa points 1, 2,4 and 7 ambazo mwanaume anaweza kuzifanya mwenyewe kirahisi tu bila kuhitaji kufanyiwa na mkewe.
 
mke wangu anafanya 1% ya hayo. yaani msosi akipenda kunipikia na chakula cha usiku kama tukikubaliana kupeana. tumeishi hivi fo the past 10 years. Gari nimemwachia yeye mimi natumia pikipiki. But we are ok kwa sababu kila mtu anaenjoy kivyake.
 

Nadhani mwanzilishi wa thread alikuwa ana ongelea kusaidia kwa maana mke anazidiwa na shughuli kama scenerio aliyoiweka yeye,sidhani kama ni kuiga ila ni kusaidiana maana kama wote mna toka kwenda kazini na kurudi wote wote mnasaidiana ktk kungeza pato la familia so ni vema mkasaidiana na research zimeonyesha inaongeza upendo ni sex life too.
Ila pia kama nimekuelewa vizuri ww umechukulia kwa mke ambaye anashinda nyumbani,of course kwa anayeshinda nyumbani hana budi kukusaidia kwa hayo yaliyo nenwa.Na wake wangine wanapenda sana kufanya maandalizi hayo kwa wame zao .
So inategemeana mke ni mama wa nyumbani au nae ni mfanyakazi.
 

Ujumbe umefika...Ubarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…