Katika media industry wanasema 'dog bite man no story.....man bite dog big story'mwanamke kupigwa au mwaaume kupigwa hii kitu mbaya sana..
Mwanamke akipigwa wengi wataandika kila sheria itakayomsaidia
Mwanaume akipigwa inachukuliwa mzaha mzaha tu....
mie ni AC/DC
nta-act according to your situation
🙂 🙂
Unang'oa ya nini?
Hatuwezi kuhangaika na matukio yenye probability ya <0.001!!
Babu DC!!
Aisee ukipigwa na mwanamke lazima ushikwe na mshipa wa t.a.k.o Bishanga na wewe unakubali huo uonevu? Jikakamue uvae uanaume. Omushaija tatelwa
Ndiyo ukweli huo AD,
A man biting a dog is a big news..it deserves a front page...
Kinyuma chake hakuna kitu hapo...just another incidence!!
Babu DC!!
Mbegu ya "mwanaume hapigwi na mwanmke na akipigwa ni aibu kwake" ilioteshwa zamani na sasa imekomaa. Huwezi ukategemea mambo yabadilike just like that. . inabidi mfanye kazi kuing'oa.
Sasa mnalalamika nini?
Acheni iendelee kuwa kama ilivyokua.
Hata sijui mpenzi. . . but it goes waaay back.Babu DC
kuna wanawake wengine mambondia kweli.
matatizo yao yawe ya kimwili au kiakili wanayamalizia
kwa wanaume zao... naongea hivyo sababu nimeshuhudia kitu hicho..
na baada ya kuona hii show The Tyra Banks Show - Women Who Beat Their Men - Exclusive! // October 19 2009 [HD] Part 1 - YouTube nikajua hii kitu ni serious
Lizzy Luu ni nani aliiotesha??
Katika media industry wanasema 'dog bite man no story.....man bite dog big story'
Babu DC
kuna wanawake wengine mambondia kweli.
matatizo yao yawe ya kimwili au kiakili wanayamalizia
kwa wanaume zao... naongea hivyo sababu nimeshuhudia kitu hicho..
na baada ya kuona hii show The Tyra Banks Show - Women Who Beat Their Men - Exclusive! // October 19 2009 [HD] Part 1 - YouTube nikajua hii kitu ni serious
Lizzy Luu ni nani aliiotesha??
AD,
Naelewa kuwa hili jambo ni gumu sana. Ndio maana tunawapa maushauri vijana kabla hawajaingia kwenye ndoa (pre-marital counselling)!!
Yaani ukutu mtu kama Joti anaoa baunsa la kutisha..huko ni kujitafutia majuto endapo mama anaamua kuwa bondia!!
Matching ya body size ni muhimu sana kwa wanamume!!
Babu DC!!
Babu BC
ni vema kuona mnawapa ushauri wa kutosha hao vijana..
lakini mambo kama haya yanaibuka wakati mapenzi yao au ndoa yamekolea.
anaweza amuoe Naomi Campbell baada ya miazi mitatu akawa baunsa kuliko Mike Tyson.
Body size ni muhimu kama ulivyo sema .. lakini wanawake wengi wanaofanya hivyo ni
mental issue kuliko saizi ya mwili.. kuna insecurity fulani hivi inayowafanya wafike kwenye stage hiyo..
na mwili waweza kuwa chanzo......
Hhhmmm insecurities?
dah? Kha ndo hv sasa mambo yatakuwa sio mazur kama kunastail za kupigana na keyboard mwisho wake wataanza kurusha screen maana kama bishanga analia hvyo tatzo lake bishanga unashndana nao hawa kwa keyboard huwawez we ungerusha screen tuu
nin na wewe .. ndo maana nimekuchukia...
Kumbe tuko wengi eeeeeeeeeee!
Halafu eti bishanga anauliza hatua ambazo utachukua....Lazima anaumwa huyu....siyo bure kabisa!!
Babu DC!