Silali leo i am contempleting my next move,ama zake ama zangu.Tena ashukuru jf,mtambo wa kushusha presha.
Haya jamani naenda. . . mbembeleze Bishanga.
pole bepariAcha tu ndugu yangu yamenikuta.
Silali leo i am contempleting my next move,ama zake ama zangu.Tena ashukuru jf,mtambo wa kushusha presha.
tigabulwa mbozi,nyenkya olagaulila!Bishanga Bishanga pleaasee!!
Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....
Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!
Kurusha ngumi....never ever do that bro!!
Babu DC!!
unanipa wasi wasi ...
ni wewe nini ??? mmhhhhh
niambie mapema nianze kwaresma sasa...
na hayo mapicha yenu yanahusu nini hapa?
Mi nimeuliza tu. Kama ni wewe basi utakua na zile sura zinazo vutia makofi. lolMwali!
Ntaanzia wapi jamani?Mi unajua ngumi zangu zilivyo.
Alafu umeona picha za kikao?Angalia hapo juu imewekwa kwenye Sticky posts.
Hhhmm tukachakachue kwingine. . .hapa sio.teh teh teh uso mororooooo kweli..
ndo maaana nilifungua skype mpya ajili ya siku ile lolz..
Halafu sijamuona desh desh au ndo mpiga picha??
Bishanga Bishanga pleaasee!!
Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....
Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!
Kurusha ngumi....never ever do that bro!!
Babu DC!!
Bishanga Bishanga pleaasee!!
Hebu tusome na kaka/dada yako Kongosho....
Huwezi kujiandaa kujibu kipigo cha mkeo....Labda kama unatafuta yale makonyagi yenu ili umkomeshe kwa njia nyingine!!
Kurusha ngumi....never ever do that bro!!
Babu DC!!
Kwa hiyo huwa mna log book mnarekodi mmetutandika Mara ngapi? Saw a ban a.Babu, naheshimu busara zako. Big up!
Ila Bishanga has a serious problem, nadhani ni mara ya pili anaongelea kupigwa na mwandani wake[Q. Anahitaji kukubaliana na mwenzio kama hawawezani waende next stage kwa kweli. Physical abuse haikubaliki, hata kama umepigwa na mtoto. U will end up being violent than ur offender!
Ushawahi kutiwa kibano na mkeo/gf wako? Hayo machungu yake usiombe kaka.Atakuwa na hasira kali sana huyo..
Anyway mwanaume proper,hamrudishii partner wake.. Wala polisi si good solution..
Kama ni mwanamke understanding,haina haja hata ya kwenda kwa wapambe wa harusi...
Inabidi abembelezeke na kutafuta sehemu yenye environment conducive na kuyaongea..